NewblockCity_tz

Call Directions Contact the business

NewblockCity_tz Ramani na Ujenzi

13/10/2026
12/10/2026

Kujenga nyumba ni moja ya investments kubwa utakazowahi kufanya. Ni pesa inayopaswa kukupa Utulivu baada ya kukamilisha MRADI WAKO.

Ukija kwetu
Tutaanza na PLAN.
→ Tunakuelewa unachotaka
→ Tunatengeneza design inayolingana na maisha yako
→ Tunakadiria materials na gharama
→ Tunapanga construction process
→ Tunasimamia quality site
→ Tunafuatilia progress mpaka project ikamilike.

Lengo ni kukusaidia kupata MATOKEO bora kutokana na pesa unazowekeza.

K**a una project ya kujenga na unatafuta watu sahihi wa kukusaidia kuanzia
RAMANI → BOQ → UJENZI → USIMAMIZI, karibu.
📲 New block City / Ramani ujenzi wa kisasa / Building materials
📞 +255717682856
📍 Mbezi Louis

11/10/2026

Contemporary ROOFING🚧


We give you Exactly What You Need.

Kila ramani tunayotengeneza huandaliwa kwa kusikiliza mahitaji ya mteja, ukubwa wa kiwanja na bajeti yake. Ndiyo maana nyumba inapotoka kwenye karatasi kwenda site, matokeo yanafanana na matarajio.

Tucheki sasa kwa ramani, BOQ pamoja na ujenzi bora!
New block City / Ramani ujenzi wa kisasa / Building materials
📞0717682856 WhatsApp
📍Mbezi Louis

11/10/2026

➡️One Master + Mini Lounge up on first floor

➡️Three bedrooms down on ground floor


We give you Exactly What You Need.

Kila ramani tunayotengeneza huandaliwa kwa kusikiliza mahitaji ya mteja, ukubwa wa kiwanja na bajeti yake. Ndiyo maana nyumba inapotoka kwenye karatasi kwenda site, matokeo yanafanana na matarajio.

Tucheki sasa kwa ramani, BOQ pamoja na ujenzi bora!
New block City / Ramani ujenzi wa kisasa / Building materials
📞0717682856 WhatsApp
📍Mbezi Louis

10/10/2026

Ili ngazi iwe na confortability kwenye kuitumia inapaswa iwe inaainuka (rising) kwa cm 15 na kusogea (tread) kwa cm 30.

Endapo itatokea vipimo hivyo binebadilishwa sana (kuongeza sana mwinuko au kupunguza sana msogezo basi ngazi hutoka kwenye standard na kusababisha kukosekana kwa confirtability kwa watumiaji.

Unataka nyumba yenye design nzuri na mpango unaolinda investment yako?
Tuongee kabla hujaanza ujenzi.
📲 New block City / Ramani ujenzi wa kisasa / Building materials
📞 +255717682856
📍 Mbezi Louis

08/10/2026


We give you Exactly What You Need.

Kila ramani tunayotengeneza huandaliwa kwa kusikiliza mahitaji ya mteja, ukubwa wa kiwanja na bajeti yake. Ndiyo maana nyumba inapotoka kwenye karatasi kwenda site, matokeo yanafanana na matarajio.

Tucheki sasa kwa ramani, BOQ pamoja na ujenzi bora!
New block City / Ramani ujenzi wa kisasa / Building materials
📞0717682856 WhatsApp
📍Mbezi Louis

07/10/2026

GHARAMA ZA KILA HATUA (Material+Ufundi)

➡️Msingi = 14.5mln
➡️Boma+slab+gutter = 19.8
➡️Paa = 17.3mln
➡️plasta = 5.7mln
➡️jamvi = 3.7mln

➡️➡️➡️Tsh. 61mln


We give you Exactly What You Need.

Kila ramani tunayotengeneza huandaliwa kwa kusikiliza mahitaji ya mteja, ukubwa wa kiwanja na bajeti yake. Ndiyo maana nyumba inapotoka kwenye karatasi kwenda site, matokeo yanafanana na matarajio.

Tucheki sasa kwa ramani, BOQ pamoja na ujenzi bora!
New block City / Ramani ujenzi wa kisasa / Building materials
📞0717682856 WhatsApp
📍Mbezi Louis

Address

Mbezi Luis
Dar Es Salaam

Telephone

+255717682856

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NewblockCity_tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to NewblockCity_tz:

Shortcuts

Share