03/01/2023
Simba Plumbing Water🚰 Point Service Mkubwa wa kaz Napokuwa nipo kwenye majukumu yangu ya kiufund ni kazi kaz kwanza Mambo mengine Hufata Baada yakumaliza kazi, ukiona hivi ujue kuku alishwa chinjwa zaman yamebaki manyoya ni maandalizi ya finishing kukamilsha system ya maji kwa kufunga hizi apa kwa hewa, Xo kwa mahtaji ya kufungiwa system ya maji barid na moto au maji barid tu kwenye nyumba yako na finishing makin kabsa usiwaze fund nipo kganjan kwako piga 0763951026 napatikana mkoa wa Shinyanga.
🖐plumbing & pipe fitting
Call:0763951026 Voda WhatsApp📲
Call:0714292662 Tigo WhatsApp📲 💎
👇
🚿🛀