Afya yako

Afya  yako Nasaidia kutatua Changamoto Zote za mifupa na Maungio

Dr_Hassan na Afya ya mifupa na maungio bila upasuaji.+255744 540 052Maumivu ya joint ni tatizo linalosumbua watu wengi k...
28/02/2024

Dr_Hassan na Afya ya mifupa na maungio bila upasuaji.

+255744 540 052

Maumivu ya joint ni tatizo linalosumbua watu wengi kwa sasa kutokana na mabadiliko ya mitindo ya Maisha. Umri mkubwa ni moja ya sababu inayopelekea kutokea kwa tatizo, ambapo tishu za mwili zinakuwa kavu na kupoteza uwezo wa kuvutika.

Tatizo hili limewafanya watu wengi kushindwa kukaa na kutembea umbali mrefu sababu ya maumivu makali wanayoyapata..

Pia limewaondolea watu uwezo wa kushiriki kwenye michezo na shughuli zingine za kujenga uchumi na wengine wengi kupata ulemavu wa maisha sababu ya kuwa na tatizo kwa muda mrefu sana na kulichukulia kawaida kwa kutumia dawa za maumivu (ant pains)

Na changamoto hii endapo isipotatuliwa mapema inaweza kukuondolea uwezo wa kutembea milele.

Kubwa Zaidi Wengi wamekuwa wakihangaika kupata Suluhu ya kudumu bila mafanikio.

Wengine wamekuwa wakipata tiba za kutuliza maumivu na baada ya muda mfupi tatizo linarudi tena.

K**a wewe umekuwa ukihangaika kupata suluhu la hili tatizo,usiwaze tena. Nina habari njema kwako.

Habari njema nikwamba unauwezo wa kutumia dawa asili zitokanazo na virutubisho lishe (food suppliments) ambazo zimewasaidia wengi kutibu matatizo yao yaliyo wasumbua kwa muda mrefu sana
karibu tukuhudumie sasa ASANTE.
📞 0744 540 052

TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)DRMTAWA 0717418778𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔 Gastroesophageal reflux disease ...
21/02/2024

TATIZO LA KUZIDI KWA KIWAGO CHA ACID TUMBONI (ACID REFLUX-GERD)

DRMTAWA 0717418778
𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔

Gastroesophageal reflux disease (GERD).
-Ni hali inayotokana na kuzid kwa kiwango cha Acid tumboni (Hydrochloric Acid) ambapo hupelekea kupanda kwa acid kutoka tumboni kuelekea katika koo la Chakula (Oesophagus) na kupelekea kudhurika kwa mfumo wa chakula upande wa juu ambao unahusisha koo la chakula na mdomo pia.

Watu wengi sana wanasumbuliwa na tatzo hili bila wao kujua wanasumbuliwa na tatzo hili na hufikia hatua wengine kudhani wamerogwa kutokana na dalili ya tatzo hili. Tutaangalia dalili ambazo mtu anaweza kugundua kuwa anasumbuliwa na tatzo hili.

DALILI ZA MTU ANAYESUMBULIWA NA KUZID KWA ACID TUMBONI (GERD-Acid Reflux
-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️

1.🖇️ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali hii hutokea pia mara baada ya kula.
2.🖇️ Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa moyo baadhi ya nyakati.Hali hii hupelekea baadhi ya watu kuhisi wana matatizo ya moyo.
3.🖇️ Kuhisi k**a kichwa kimevurugika na kuhusi kuchanganyikiwa.
4.🖇️ Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu.
5.🖇️ Kujisaidia choo kigumu k**a cha mbuzi.
6.🖇️ Kuwa na wasiwasi na khofu kubwa na hufikia hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi mkubwa.
7.🖇️ Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara kutoka usingizini.
8.🖇️ Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati.
9.🖇️ Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.
10.🖇️ Kupata kikokozi kisichoisha
11.🖇️ Kuvimba Tonsillitis/mafidofido mara kwa mara.
12.🖇️ Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea kutoa harufu mbaya ya kinywa.
13.🖇️ Kuhisi k**a kuna kitu kimekwama kooni lakin kila unavyojaribu kukitoa hakitoki
14.🖇️ Kupata fangasi mdomoni(mdomo huanza kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya).
15.🖇️ Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa.
16.🖇️ Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya mabega,maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.
17.🖇️ Mwili kuwa na uchovu usioisha utadhani unafanyakaz ngumu kila siku.
18.🖇️ Macho kupunguza uwezo wa kuona vizuri.
19.🖇️ Kupungua uwezo wa kufanya tendo la ndoa.
20.🖇️ Mwili kupata baridi na wakat mwingine kuhisi homa kabisa.
21.🖇️ Maumivu ya tumbo kati ya kifua na tumbo.
22.🖇️Kichefuchefu na kutapika.

MAMBO YANAYOWEZA KUCHOCHEA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI
1.🖇️ Uvutaji wa sigara
2.🖇️ Unywaji wa pombe
3.🖇️ Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine k**a vile Kahawa,Chocolate, Soda nk
4.🖇️ Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula vilivyokaangwa
5.🖇️ Kula chakula kingi kupita kiasi ama kula usiku sana.
6.🖇 Kutumia baadhi ya Madawa k**a vile ASPIRIN
7.🖇️ Ngiri ya kifua pia husababisha GERD lakin pia GERD huweza kisababisha Ngiri ya Kifua(Huatal hernia)
8.🖇️ Kuwa Mjamzito
9.🖇️ Uzito kupita kiasi (Obesity)
10.🖇️ Matatzo ya mmeng'enyo wa chakula au kuchewa Kujisaidia pindi uhisipo haja kubwa.

NOTE: WATU WENGI HAWAPONI VIDONDA VYA TUMBO KWASABABU YA KUZIDI KWA ACID TUMBONI.Yaani Acid inaunguza vidonda na kufanya visipone kwa wakati.

MATIBABU YA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID TUMBONI-GERD
-Matibabu ya KUZIDI kwa Acid tumbon yamegawanyika katika aina mbili k**a ifuatavyo:⤵️⤵️

1️⃣ MATIBABU YA KAWAIDA YA HOSPITAL.
-Matibabu haya yanahusisha utumiaji ya njia za hospital katika matibabu ikiwemo utumiaji wa PPIs(Proton pump inhibitors),Antacids,Histamine, H-2 Blockers k**a vile Cimetidine (tagament HB),famotidine (Pepcid AC),Nizatidine (Axid AR)
-esomeprazole (Nexium), lansoprazole (Prevacid), omeprazole (Prilosec), pantoprazole (Protonix), rabeprazole (Aciphex) and dexlansoprazole (Dexilant) .Magnesium nk.
Dawa hizi zimekuwa zikitumiwa sana na watu wenye changamoto za Acid nying tumboni na miongoni mwa changamoto ni kwamba dawa hizi zimekuwa zikionesha msaada mdogo sana kwa asilimia kubwa ya wagonjwa na hutoa naafuu ya muda tu.

2️⃣MATIBABU YA KIMATAIFA
Ukoachana na mfumo huo wa kawaida wa hospitalini,Kuna mfumo maalumu wa kitaalamu unaotumika kimataifa yaani kutoka WHO kwaajili ya kutibu na kutokomeza kabisa huu ugonjwa moja kwa moja.Matibabu yanahusisha mfumo maalum wa vyakula na dawa maalum ,ndani ya mwezi mzima itatimia dawa na vyakula maalum Kisha utapima na kujithibitishia.

Tunapatikana mikoa yote , Tupigie tukuelekeze Ufike ofisini kwetu kwa matibabu zaidi.
0717418778 DR MTAWA.

MAUMIVU YA MAGOTI NA MATATIZO YA MIFUPA NA TIBA YAKEMaumivu haya huweza kutokea ikiwa uimara wa mifupa unapopungua hivyo...
16/02/2024

MAUMIVU YA MAGOTI NA MATATIZO YA MIFUPA NA TIBA YAKE
Maumivu haya huweza kutokea ikiwa uimara wa mifupa unapopungua hivyo kuwa na uwezekano mkubwa wa kuweza kupata mpasuko au kuvunjika kwa urahisi na mara nyingi ugonjwa huu huambatana na maumivu makali ya mifupa.

Ugonjwa huu unaweza kutokea iwapo kutakuwa na mabadiliko ya hormoni,upungufu wa madini k**a calicium au vitamin D.

Mifupa ina madini ambayo hutumika mwilini na kurejeshwa ili kuufanya mfupa uwe imara na kuujenga, endapo yatatumika zaidi kuliko kurejeshwa katika mifupa,mifupa hudhoofu na hukosa uimara na hupunguza uzito.(normal peak bone mass is greater than normal bone loss)

Uzito wa mfupa kwa kawaida kwa mtu kijana huwa ni 2.5 standard deviations uzito chini ya huo mtu anaweza kupata (Osteoporosis) tatizo la mifupa.

Utajua uzito huo kwa vipimo maalumu yani kwa dual energy X-rayabsorptiometry.

Mara nyingi tatizo hili la mifupa hutokea katika uti wa mgongo (huweza kusababisha mgongo kupinda na kuuma), hutokea katika Magoti,katika nyonga na kifuani.

VITU VINAVYOWEZA KUSABABISHA MATATIZO YA MIFUPA (OSTEOPOROSIS)-Upungufu wa hormone za Estrogen hii huwapata sana wenye menopause.-
*Ulevi
*Upasuaji wa kuondolewa ovaries
*Magonjwa ya figo(Hyperthyroidism) tatizo la utengenezwaji wa thyroid homoni nyingi kipita kiasi na hivyo kusababisha mwili usifanye kazi vizuri(Anorexia)

Uzito Mdogo kupita kiasi unao sababishwa na tabia ya kujinyima kula kupita kiasi
*kufanya mazoezi kupita kiasi kwa kuogopa kunenepa au kutaka mtu abaki akiwa na kilo chache sana ukilinganisha na urefu wake.

*Baadhi ya matibabu
*madawa yenye kemikali(chemotherapy)
k**a steroids,proton pump inhibitor na anti seizure medications-

*Uvutaji wa sigara-
*kutokufanya mazoezi ya viungo vya mwili

KINGA ZA MATATIZO YA MIFUPA (OSTEOPOROSIS)
Zingatia ulaji mzuri wa chakula bora.
-Epuka matibabu yenye kutumia kemikali
-Pendelea ulaji mzuri wa vyakula vya asili vyenye madini yakutosha na muhimu yanayo jenga mifupa
-Acha au punguza matumizi ya pombe
-Fanya mazoezi ya kutosha na kunywa maji mengi ya kutosha

MADHARA YANAYOWEZA KUSABABISHWA NA TATIZO HILI
*Maumivu makali ya mifupa katika Magoti
*uti wa Mgongo,
*mabegani,
*kifuani au katika nyonga
*Kupinda Mgongo hasa wakati wa uzeeni
*Kuvunjika mifupa kwa urahisi

MATIBABU YA OSTEOPOROSIS
Kula kwa wingi chakula chenye kiasi kikubwa cha vitamins D na chenye madini ya calcium mfano maziwa,ubuyu,moringa Oleifera leaves n.k

Tumia Dawa asili zinazofanya homoni za estrogens kuwa sawia(kwa wanawake)
Tumia Dawa zitakazo saidia kukupatia madini ya calicium ya kutosha na itakayo weza kuimarisha mifupa.

Mafuta ya samaki na samaki wa maji baridi kwa wingi upate fatty acid.-

Tumia virutubisho vya asili vilivyo katika mfumo wa vidonge uweze kuipa kinga mifupa yako.Tatizo lako linatibika kwa wewe muhanga wa tatizo la mifupa magoti na mgogo..Tupigie simu yetu kwa tiba na ushauri... 0715889476
*GHARAMA YA MATIBABU KUANZIA 480000 (LAKI NNE NA THEMANINI) INATEGEMEA NA CHANGAMOTO YAKO*

21/01/2024
AFYA YA MFUMO WA MMENG’ENYO WA CHAKULA/MFUMO WA CHAKULA.Mfumo wa chakula ni jumla ya viungo vya mwili vinavyofanya kazi ...
20/01/2024

AFYA YA MFUMO WA MMENG’ENYO WA CHAKULA/MFUMO WA CHAKULA.

Mfumo wa chakula ni jumla ya viungo vya mwili vinavyofanya kazi ya kuingiza chakula mwilini,kusaga,kukisafirisha chakula ndani ya mwili,kuondoa lishe inayotakiwa na mwili na nyingne kuondolewa nje k**a uchafu.

VIUNGO VINAVYOHUSIKA KATIKA MFUMO WA MMENG’ENYAJI WA CHAKULA.
Umio,ulimi,INI,kinywa,kongosho,utumbo mpana na mwembamba,mfuko wa nyongo na tumbo,na rektamu.

MFUMO WA MMENG’ENYA WA CHAKULA IMARA.
Ni kitendo cha kuwa na mifumo wa mmeng’enyaji wa chakula unaofanya kazi yake vyema na ufanisi zaidi.

DALILI ZA MFUMO WAKO WA CHAKULA HAUPO SAWA.

👉🏼 kutopata choo mda mrefu (ukila Mara tatu upate choo pia tatu)

👉🏼 ukienda haja kubwa hutakiwi kusubiria,kupata maumivu na kulazimisha ( yaani kiwe laini na kufungamana k**a ndizi ) kikitoka k**a cha mbuzi ni tatizo.

👉🏼 kinyesi kuwa na harufu Kali sana na rangi nyeusi.Inaashiria kuoza kwa uchafu huo ndani ya tumbo kwa kukaa mda mrefu au bila kutoka kwa wakati.

👉🏼 kuwa na tumbo kubwa lenye umbo la U.

MAGONJWA AU MATATIZO YATOKANAYO NA MFUMO WAKO KUTOKUWA SAWA.

👉🏼 vidonda vya tumbo.

👉🏼 magonjwa ya INI na Figo.

👉🏼 mapafu kufeli.

👉🏼 bawasiri.(mgoro)kuota kinyama katika njia ya Haja Kubwa

👉🏼 kisukari na presha.

👉🏼 kichwa kuuma sana.

👉🏼 kuonekana na uso wa uzee ikiwemo chunusi.

👉🏼 Kansa ya tumbo na ya njia ya haja kubwa.

👉🏼 kukosa nguvu za kiume.

👉🏼 kiungulia na tumbo kujaa gesi.

👉🏼 acid mwilini.

👉🏼 Tatizo la kupata mtoto kutokana na tumbo kulalia sehemu za uzazi kwa wanawake.

👉🏼 kutopata choo.

JINSI YA KUIMARISHA MFUMO HUU KWA MATIBABU YA AWALI KABLA YA KUPATA MATIBABU YENYEWE FANYA HIVI.

👉🏼 Tumia maji ya binzali nyembamba.

👉🏼 maji mengi.

👉🏼 mazoezi.

👉🏼 papai,parachichi,alovera na mlonge.

👉🏼 mazoezi.

K**a mfumo wako utakuwa imara kuna asilimia 95% kutopata ugonjwa wowote fuata maelekezo na Tiba.

Kwa msaada wa ushauri na Tiba piga: +255 69 407 5597

*YAJUE Madhara ya UZITO uliopitiliza (OBESITY) na changamoto zake katika afya*💥💥JE, UNENE IMEKUWA NI SHIDA KWAKO?? 💥💥 JE...
16/01/2024

*YAJUE Madhara ya UZITO uliopitiliza (OBESITY) na changamoto zake katika afya*

💥💥JE, UNENE IMEKUWA NI SHIDA KWAKO??
💥💥 JE, UMEHANGAIKA KUPUNGUA MARA KWA MARA IMESHINDIKANA?

♦️Uzito mkubwa wa kupindukia ni tatizo kubwa la kiafya katika maisha yetu ya kisasa. Uzito unapozidi kiwango ambacho kinahitajika kwa mtu husika kunachangia matatizo mengi ya kiafya. Kwa mujibu wa Takwimu zilizotolewa na shirika la afya duniani, zaidi ya watu bilioni 1.5 duniani wamezidisha uzito wa miili yao. Milioni 500 kati yao huwa na unene wa kupindukia.

♦️Tatizo hili la UNENE
uliopitiliza kuliko inavyohitajika kiafya huwa linaletwa na kuongezeka kwa kiwango cha mafuta mwilini.
♦️Njia rahisi inayokubalika ya kuweza kugundua k**a mtu ni mnene kupita kiasi (Obese) inafahika k**a kipimo cha Body Mass Index (BMI) vipimo hivi vya BMI ndio vinaweza kukujulisha k**a unene ulionao unastahili kulingana na umri, urefu,na uzito wako.

♦️Magonjwa yanayoweza kuambatana na tatizo la unene uliopitiliza Ni:
▪Kisukari
▪shinikizo la damu (hypertension)
▪Matatizo ya kizazi (Infertility)
▪kiharusi (Stroke),
▪Magonjwa ya moyo (Heart Failure)
▪Kiwango cha juu cha lijamu kwenye damu ( Cholesterol )
▪Saratani ya matiti. ▪Saratani ya tezi dume ( prostate Cancer) ▪Saratani ya utumbo mpana pamoja na maeneo ya haja kubwa ( Colorectal Cancer)
▪ Matatizo ya mzunguko na mishipa ya damu k**a vile kuvimba kwa Vena za miguuni ( Varicose veins)
▪kutokupumua vizuri wakati mtu yupo usingizini.
▪Kutoku perform vizuri kwenye TENDO la Ndoa.
▪Ugonjwa wa mifupa k**a yabisi. Nk nk

🔷Nina program maalumu ya namna ya ulaji sahihi AMBAO itakusaidia kupungua UZITO Hadi kilo 15 Kwa KUNZINGATIA ulaji wako wa asubuhi

Program hii utalipia 30000 Ili UPATE maelezo ya namna ya kula na ukihitaji kusimamiwa utalipia 65000 hapa nitakunga kwenye group na kufuatilia namna unavyokula kuanzia asubuhi na jion, na ushauri sahihi namna ya kula na mazoezi

Unaweza kufanya Program ya Siku 30, au Siku 60 au Siku 90 kutegemeana na Unene na unataka kupungua kiasi gani.

Wasiliana Nasi.
+255715889476

Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke ni nini?Dr_SADA +255 621 275 058Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke au ugo...
02/01/2024

Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke ni nini?

Dr_SADA +255 621 275 058

Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke au ugonjwa wa PID (pelvic inflammatory disease) ni maambukizi ya bakteria kwenye shingo ya uzazi, mirija ya fallopio, ovari na tumbo la uzazi (uterasi).

Sababu kuu ya ugonjwa huu kutokea ni maambukizi yanayosambazwa kwa kujamiiana (STI). Ugonjwa huu unaweza kuwaathiri wanawake wenye umri wowote, lakini wale wenye umri kati ya maika 15 na 24 huathirika zaidi.

Dalili huweza kujumuisha: maumivu ya nyonga au tumbo, maumivu wakati wa kujamiiana, na uchafu usio wa kawaida kutoka ukeni pamoja na homa. PID hutibiwa kwa antibiotiki, na utambuzi na matibabu ya mapema ni muhimu katika kuzuia madhara ya kupata makovu na utasa. 1

Vihatarishi vya ugonjwa wa PID

Maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke ni semi ya kitabibu inayoelezea maambukizi ya shingo ya uzazi, tumbo la uzazi na mirija ya fallopio. Kwa kawaida maambukizi haya husababishwa na bakteria.

Ingawa mara nyingi ni maamkubizi yanayosambazwa kwa njia ya kujamiiana (STI), k**a vile klamidia au kisonono, wakati mwingine maambukizi haya huweza kusababishwa na bakteria wengine. PID inaweza kuwaathiri wanawake wenye umri wowote, lakini wale wenye umri kati ya miaka 15 and 24 huathirika zaidi.

Dalili za PID

Dalili huweza kujumuisha: 1 2

Maumivu kwenye nyonga na tumbo
Maumivu wakati wa kujamiiana
Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi
Kutokwa na majimaji yasiyo ya kawaida ukeni
Baadhi ya watu huweza kupata homa, kichefuchefu, kutapika au maumivu wakati wa kujisaidia.

Dr_Philomena na Afya ya mifupa na maungio bila upasuaji.+255 61 259 5076Maumivu ya joint ni tatizo linalosumbua watu wen...
31/12/2023

Dr_Philomena na Afya ya mifupa na maungio bila upasuaji.

+255 61 259 5076

Maumivu ya joint ni tatizo linalosumbua watu wengi kwa sasa kutokana na mabadiliko ya mitindo ya Maisha. Umri mkubwa ni moja ya sababu inayopelekea kutokea kwa tatizo, ambapo tishu za mwili zinakuwa kavu na kupoteza uwezo wa kuvutika.

Tatizo hili limewafanya watu wengi kushindwa kukaa na kutembea umbali mrefu sababu ya maumivu makali wanayoyapata..

Pia limewaondolea watu uwezo wa kushiriki kwenye michezo na shughuli zingine za kujenga uchumi na wengine wengi kupata ulemavu wa maisha sababu ya kuwa na tatizo kwa muda mrefu sana na kulichukulia kawaida kwa kutumia dawa za maumivu (ant pains)

Na changamoto hii endapo isipotatuliwa mapema inaweza kukuondolea uwezo wa kutembea milele.

Kubwa Zaidi Wengi wamekuwa wakihangaika kupata Suluhu ya kudumu bila mafanikio.

Wengine wamekuwa wakipata tiba za kutuliza maumivu na baada ya muda mfupi tatizo linarudi tena.

K**a wewe umekuwa ukihangaika kupata suluhu la hili tatizo,usiwaze tena. Nina habari njema kwako.

Habari njema nikwamba unauwezo wa kutumia dawa asili zitokanazo na virutubisho lishe (food suppliments) ambazo zimewasaidia wengi kutibu matatizo yao yaliyo wasumbua kwa muda mrefu sana
karibu tukuhudumie sasa ASANTE.
📞 +255 61 259 5076

Dr_Kasiana na Afya ya mifupa na maungio bila upasuaji.+255 715 889 476Maumivu ya joint ni tatizo linalosumbua watu wengi...
22/12/2023

Dr_Kasiana na Afya ya mifupa na maungio bila upasuaji.

+255 715 889 476

Maumivu ya joint ni tatizo linalosumbua watu wengi kwa sasa kutokana na mabadiliko ya mitindo ya Maisha. Umri mkubwa ni moja ya sababu inayopelekea kutokea kwa tatizo, ambapo tishu za mwili zinakuwa kavu na kupoteza uwezo wa kuvutika.

Tatizo hili limewafanya watu wengi kushindwa kukaa na kutembea umbali mrefu sababu ya maumivu makali wanayoyapata..

Pia limewaondolea watu uwezo wa kushiriki kwenye michezo na shughuli zingine za kujenga uchumi na wengine wengi kupata ulemavu wa maisha sababu ya kuwa na tatizo kwa muda mrefu sana na kulichukulia kawaida kwa kutumia dawa za maumivu (ant pains)

Na changamoto hii endapo isipotatuliwa mapema inaweza kukuondolea uwezo wa kutembea milele.

Kubwa Zaidi Wengi wamekuwa wakihangaika kupata Suluhu ya kudumu bila mafanikio.

Wengine wamekuwa wakipata tiba za kutuliza maumivu na baada ya muda mfupi tatizo linarudi tena.

K**a wewe umekuwa ukihangaika kupata suluhu la hili tatizo,usiwaze tena. Nina habari njema kwako.

Habari njema nikwamba unauwezo wa kutumia dawa asili zitokanazo na virutubisho lishe (food suppliments) ambazo zimewasaidia wengi kutibu matatizo yao yaliyo wasumbua kwa muda mrefu sana
karibu tukuhudumie sasa ASANTE.
📞 +255 715 889 476

Dr_Jamal na Afya ya mifupa na maungio bila upasuaji.📞 +255769765469Maumivu ya joint ni tatizo linalosumbua watu wengi kw...
18/12/2023

Dr_Jamal na Afya ya mifupa na maungio bila upasuaji.
📞 +255769765469
Maumivu ya joint ni tatizo linalosumbua watu wengi kwa sasa kutokana na mabadiliko ya mitindo ya Maisha. Umri mkubwa ni moja ya sababu inayopelekea kutokea kwa tatizo, ambapo tishu za mwili zinakuwa kavu na kupoteza uwezo wa kuvutika.

Tatizo hili limewafanya watu wengi kushindwa kukaa na kutembea umbali mrefu sababu ya maumivu makali wanayoyapata..

Pia limewaondolea watu uwezo wa kushiriki kwenye michezo na shughuli zingine za kujenga uchumi na wengine wengi kupata ulemavu wa maisha sababu ya kuwa na tatizo kwa muda mrefu sana na kulichukulia kawaida kwa kutumia dawa za maumivu (ant pains)

Na changamoto hii endapo isipotatuliwa mapema inaweza kukuondolea uwezo wa kutembea milele.

Kubwa Zaidi Wengi wamekuwa wakihangaika kupata Suluhu ya kudumu bila mafanikio.

Wengine wamekuwa wakipata tiba za kutuliza maumivu na baada ya muda mfupi tatizo linarudi tena.

K**a wewe umekuwa ukihangaika kupata suluhu la hili tatizo,usiwaze tena. Nina habari njema kwako.

Habari njema nikwamba unauwezo wa kutumia dawa asili zitokanazo na virutubisho lishe (food suppliments) ambazo zimewasaidia wengi kutibu matatizo yao yaliyo wasumbua kwa muda mrefu sana
karibu tukuhudumie sasa ASANTE.
📞 +255769765469

Address

Newala

Telephone

+255687683953

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Afya yako:

Share

Category