MAGU Electrical Services

Call Directions Website Contact the business

MAGU  Electrical  Services Electrical Services

Wataalamu wa Umeme Huduma Tuzitoazo:

🏠 Huduma za Umeme Majumbani
🏭 Huduma za Umeme Viwandani
💡 Uuzaji wa Vifaa Bora vya Umeme
📝 Ufungaji wa Fomu za Maombi ya Huduma za Umeme Tanesco

06/10/2026
06/10/2026

⚡🔧 132kW MOTOR DRYING & RESTORATION 🔧⚡

Baada ya motor kuingia maji na kuathiri winding, kazi ya kurejesha hali yake imeanza kwa umakini mkubwa. 💪

Tunaendelea na professional drying, cleaning & insulation recovery kuhakikisha motor inarudi katika hali salama na tayari kwa kazi.

🔥 Kila hatua inafanyika kwa uangalifu — safety, precision & quality first.

Electrical Maintenance is not just a job — it’s a responsibility. ⚡

🔧  ? 🔧​Tuna habari njema! Duka letu limejaa vifaa vya hali ya juu vya umeme vinavyohakikisha usalama na uimara. Hapa uta...
30/09/2026

🔧 ? 🔧
​Tuna habari njema! Duka letu limejaa vifaa vya hali ya juu vya umeme vinavyohakikisha usalama na uimara. Hapa utapata:
* 🔌 Nyaya za ubora kwa matumizi yote.
* 💡 Taa za kisasa na zinazookoa nishati.
* ⚙️ Swichi na plagi salama na zenye mtindo.
​Picha hii ni mwanzo tu! Tembelea duka letu ili kuona chaguzi mbalimbali na kupata ushauri wa kitaalamu. Pata bidhaa zenye dhamana kwa bei nafuu.

MAGU Electrical Services
— Tunakuhudumia kwa uaminifu mkubwa! ⚡🔧
📍 Dumila Njia Panda, Morogoro
📞 0747 381 137 | 0652 112 988

13/09/2026

⚡ UPIMAJI WA MFUMO WA EARTHING

“Mfumo mzuri wa earthing ni muhimu kwa usalama wa watu, ulinzi wa vifaa vya umeme, na kuhakikisha mkondo wa hitilafu unapita kwa usalama kwenda ardhini.”
Katika picha hii, tunaona upimaji wa earth resistance kwa kutumia kifaa maalumu cha kupima ubora na ufanisi wa mfumo wa earthing.
Upimaji huu husaidia kuthibitisha kuwa:
✅ Mfumo wa earthing umefungwa kwa usahihi
✅ Earth electrode imewekwa vizuri
✅ Miunganisho ya earth iko katika hali nzuri
✅ Mfumo una njia salama ya kupeleka fault current ardhini
✅ Ulinzi dhidi ya mshtuko wa umeme na uharibifu wa vifaa unafaa
Kumbuka: Ufungaji wa umeme haujakamilika bila mfumo sahihi wa earthing na upimaji wake. ⚡🌍
MAGU Electrical Services — Ufungaji, Matengenezo na Upimaji wa Mifumo ya Umeme.

Asante sana wateja wetu! ❤️Tunawashukuru kwa kuendelea kutuamini na kutuchagua. 🙏MAGU Electrical Service tutaendelea kuw...
04/09/2026

Asante sana wateja wetu! ❤️
Tunawashukuru kwa kuendelea kutuamini na kutuchagua. 🙏
MAGU Electrical Service tutaendelea kuwahudumia kwa uaminifu, ubora na huduma bora. ⚡
📍 Dumila Njia Panda, Morogoro
📞 0747 381 137 / 0652112988
MAGU Electrical Service — We care our customers. ❤️⚡

04/09/2026

Asante sana wateja wetu! ❤️
Tunawashukuru kwa kuendelea kutuamini na kutuchagua. 🙏
MAGU Electrical Service tutaendelea kuwahudumia kwa uaminifu, ubora na huduma bora. ⚡
📍 Dumila Njia Panda, Morogoro
📞 0747 381 137 / 0852 112988
MAGU Electrical Service — We care our customers. ❤️⚡

⚡ KILA SAFARI INA MWANZO, NA KILA MWANZO UNA HADITHI YAKE. 💙🧡Kutoka kwenye wazo lililoanza na hatua ndogo, tukapitia mab...
02/08/2026

⚡ KILA SAFARI INA MWANZO, NA KILA MWANZO UNA HADITHI YAKE. 💙🧡

Kutoka kwenye wazo lililoanza na hatua ndogo, tukapitia mabadiliko mbalimbali hadi kufikia mwonekano wa leo.

Hii siyo tu historia ya Logo, bali ni historia ya ukuaji, ubunifu, kujifunza na kuendelea kuboresha huduma zetu.

Tunazidi kukua, tunazidi kuboresha, na tunazidi kuwahudumia kwa ubora zaidi. ⚡🔌
MAGU Electrical Service
“We care our customers.” ❤️

🚨 USISOME HII K**A HUJALI USALAMA WA NYUMBA YAKO! 🚨​Hivi unajua kuwa zaidi ya 70% ya majanga ya moto kwenye nyumba za ki...
13/07/2026

🚨 USISOME HII K**A HUJALI USALAMA WA NYUMBA YAKO! 🚨
​Hivi unajua kuwa zaidi ya 70% ya majanga ya moto kwenye nyumba za kisasa hayasababishwi na radi? Yanasababishwa na vitu vidogo sana tunavyovipuuza kwenye mifumo ya umeme.
​Leo Electrical Services tunakupa siri 3 za kulinda familia yako na vifaa vyako vya ndani:

​1️⃣ Kununua vifaa feki (Circuit Breakers/Ufito): Breaker feki haitakata umeme kukiwa na shoti. Ni sawa na kuwa na mlinzi aliyelala usingizi wa fofofo magetini!
2️⃣ Kupakia mzigo mkubwa kwenye soketi moja (Overloading): Kuchomeka pasi, friji, na microwave kwenye extension moja ni kutengeneza bomu la muda linalosubiri kulipuka.
3️⃣ Kutumia "Kishoka" badala ya Fundi Aliyesajiliwa: Unasave elfu 50 leo kwa kumpa kishoka, unakuja kupoteza mamilioni kesho nyumba ikiungua.
​Nyumba yako ni uwekezaji wa maisha yako yote, usiiweke rehani.

​👇 HEBU NIAMBIE KWENYE COMMENT:
Je, ni kifaa gani cha umeme kinasumbua sana kwako kwa sasa? Friji? Pasi? Au taa zinajizima zenyewe? Niandikie hapo chini, mtaalamu wetu atakujibu hapa hapa buee
​📞 Mawasiliano: 0747381137
📍 Tunapatikana: Dumila,Morogoro
​ Tanzania

11/07/2026

UMEPOTEA AU UNATAFUTA DUKA LETU?
Hakuna haja ya kuuliza watu njiani 😊
Fungua Google Maps, kisha andika MAGU MAGU Electrical Service na bonyeza Directions. Ramani itakuongoza moja kwa moja hadi ofisini kwetu Dumila Njia Panda – Morogoro 📍

⚡ Tunapatikana kwa huduma za:
•Vifaa vya umeme vya majumbani na viwandani
•Ufungaji wa Control Panels
•VFD & Starter Systems
•Matengenezo ya Generators
•Ushauri wa kitaalamu wa umeme

MAGU ELECTRICAL SERVICE
✔️ We Care Our Customer’s 💙

Address

Dumila Town
Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MAGU Electrical Services posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MAGU Electrical Services:

Share