04/10/2026
π§β‘ KAZI ZINAENDELEA HAPA KIBAHA MAILI MOJA! β‘π§
Tunaendelea na kazi ya umeme kwenye site ya mteja wetu hapa Kibaha Maili Moja.
Kila hatua inaandaliwa kwa umakini na ubora ili kuhakikisha mfumo wa umeme unakuwa salama, nadhifu na wa kiwango cha juu. ππ‘
π Location: Kibaha Maili Moja
ποΈ Project: Electrical Works
π·ββοΈ Professional Electrical Services
Tunajenga kwa ubora, tunaweka umeme kwa usalama. β‘