Jamhuri Finishing Supplies

Jamhuri Finishing Supplies Wauzaji na Wasambazaji wa Vifaa vya Ujenzi vya Finishing

11/07/2026

Boss huyu alikuwa tayari kutumia pesa nyingi kila mwaka kutunza sakafu yake ya mbao.

Sakafu ya mbao ni nzuri… lakini inakuja na "gharama ya kudumu": kung'arisha upya, kuogopa maji, kuogopa mchwa, kuogopa michirizi.

Kwa hiyo badala ya kumfanya aendelee kupambana na matengenezo ya kila mara, tulimwonesha option ambayo mwonekano wake ni ule ule wa mbao halisi.

K**a wewe pia unapenda mwonekano wa mbao lakini hutaki usumbufu wa matengenezo ya mara kwa mara

Karibu hapa 📍 Jamhuri Finishing, Dodoma – Barabara ya 6, karibu na Uwanja wa Jamhuri.
📞 +255 659 906 665

06/07/2026

Unajua tofauti kati ya Tiles za kawaida na Full Body Tiles?

Watu wengi huangalia uzuri wa tile pekee… lakini hawajui kilicho ndani yake ndicho kinachoamua uimara wake.

Full Body Tiles zina rangi na muundo unaoendelea kuanzia juu mpaka ndani kabisa ya tile. Hata zikikwaruzwa au zikatumika kwenye maeneo yenye watu wengi, zinaendelea kubaki imara na kuonekana vizuri.

✅ Hazitelezi kirahisi
✅ Zinadumu kwa muda mrefu
✅ Zinafaa kwa sehemu zenye matumizi makubwa k**a maegesho, njia za kutembea, varanda, vyoo na hata kitchen countertops.

🎥 Tazama video hii hadi mwisho ujue tofauti hiyo kabla hujafanya uamuzi wa kununua tiles.

📍Tembelea showroom yetu Jamhuri Finishing, Dodoma – Barabara ya 6, karibu na Uwanja wa Jamhuri.

📞 Kwa ushauri au kuweka oda: +255 659 906 665

04/07/2026

Tiles za foundation si urembo pekee...

Zinaongeza ulinzi dhidi ya unyevu, uchafu na kuongeza uimara wa finishing ya nyumba yako.

Na k**a unataka muonekano wa kisasa na wa kifahari, Cavin Effect Foundation Tiles (India) zinakupa ile “premium finish” inayobadilisha kabisa sura ya jengo lako.

📍 Tembelea showroom yetu: Jamhuri Finishing – Dodoma Barabara ya 6, karibu na Uwanja wa Jamhuri

📞 Kwa oda au ushauri: +255659906665

27/06/2026

Unahitaji kupata finishing itakayokupa urembo, privacy, au partition classic na smart

Basi unahitaji hizi wall panels, zinabadilisha kabisa hata boring space kuwa ya kuvutia

Tuna wall panels za kila aina na rangi aina zote.

Kwenye suala la finishing, sisi hatutaki upate shida.

Kila kitu utakipata hapa, tupigie WhatsApp / Piga: +255 659 906 665.

24/06/2026

Imagine, tiles hizi kuna wateja wetu hadi wazitumia kufanyia suprise kwa wapendwa wao.

K**a kuna kitu ambacho tuna uhakika tunafanya vizuri zaidi kwenye sekta ya ujenzi hapa Dodoma .

Basi ni suala la sisi kuwa NDO THE BEST linapokuja suala la tiles bora, imara na classic.

Kuweka oda au ushauri tafadhali piga +255659906665.

Tembelea showroom yetu Jamhuri Finishing Dodoma, tupo barabara ya 6 karibu na Uwanja wa Jamhuri

21/06/2026

Boss kabla hujaamua kutumia tiles za kung'aa k**a kioo kwenye finishing yako, kuna jambo muhimu unapaswa kulijua.

Pia hii ni makhususi kwa kila mtu anaependa vitu vya kipekee aliyefika hatua ya kuweka TILES, hakikisha anaiona video hii.

Siyo kila tile inayong'aa inatoa mwonekano wa kifahari.

Tiles za HIGH GROSSY premium zina:

✅ Surface iliyopolishiwa sana inayoreflect k**a kioo.

✅ Uwezo wa kufanya eneo lionekane kubwa na wazi zaidi.

✅ Muonekano wa kisasa unaoongeza thamani ya finishing yako.

✅ Ubora wa kudumu unaoendana na nyumba ya kiwango cha juu.

K**a ndoto yako ni finishing premium, basi tiles utakazotumia zinapaswa kuonyesha hadhi hiyo pia.

Kupata Tiles za High Grossy, WhatsApp / Piga: +255 659 906 665.

16/06/2026

Usisubiri mpaka TILES zifubae......

Tiles zinahitaji ulinzi sahihi.

Na hapa Jamhuri Finishing, ndani ya mwezi huu Ukiinunua kuanzia BOX 30 au ZAIDI za TILES za INDIA.

Tutakupatia dawa ya TILES BURE kabisa 🎁, kwa kuwa tunajali mwonekano wa TILES zako boss.

Pia, k**a na wewe unamjali yule aliyefika stage ya kuweka TILES hakikisha anaiona video hii.

Tunapatikana Dodoma, barabara ya sita karibu na Uwanja wa Jamhuri.

Kuweka oda ya TILES piga: +255659906665

12/06/2026

K**a umefikia hatua ya kuweka TILES hakikisha kwanza umeangalia video hii.

Inaonyesha tofauti moja ambayo itakusaidia usiingie hasara kwenye hatua hii ya ujenzi.

Kwa mahitaji ya TILES bora, imara za sakafuni na kuta ziliszotengenezwa hapa Tanzania na India karibu hapa Jamhuri Finishing.

Tunapatikana ipo Dodoma, barabara ya sita karibu na Uwanja wa Jamhuri.

Kuweka oda tuma DM au tupigie kwa; +255659906665

09/06/2026

Hata k**a BAJETI yako ni ndogo , ndoto yako ya kuweka TILES inawezekana.

Angalia Video hii.

Tiles hii ya 40*40 itakusaidia kupata finishing bwanga kwa bajeti model.

TILES hizi zilizotengenezwa Tanzania za 40*40 ni mkombozi kwa wajenzi wengi kwa sababu zinajenga eneo kubwa zaidi, box moja inatosha sqm 1.94 na bei yake sasa huwezi kulinganisha na TILES zingine zozote.

Hapa hatuuzi tu, tunakusaidia wewe kufanya maamuzi sahihi.

Tunapatikana barabara ya 6, karibu na Uwanja wa Jamhuri.

Tafadhali tutumie DM kuweka oda yako.

Tupige kwa simu/Whassap : +255659906665, kuweka oda au maulizo.

04/06/2026

Usitumie Cement ya Kawaida unapoweka Tiles 🚫

Uepuke kuingia hasara ya kurudia kuweka TILES

Tumia gundi maalumu ya tiles/ tile adhesive.

Ni imara na flexible na imetengenezwa kwa maalumu kazi ya kugundisha TILES.

K**a unajenga au una mpango wa kuweka tiles hive nkaribuni. Save video hii. Au share na mtu anayejenga sasa hivi. Utamsaidia kwa kumpa taarifa sahihi

Gundi hiii ya tiles na TILES za aina zote zinapatikana hapa .

Tembelea showroom yetu ya Jamhuri Finishing-Dodoma.

Tunapatikana barabara ya 6, karibu na Uwanja wa Jamhuri.

Tupige kwa simu: +255659906665, kwa maulizo au kuweka oda ya tiles, gundi ya tiles etc

Address

Barabara Ya Sita
Dodoma
41101

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:30
Tuesday 07:30 - 17:30
Wednesday 07:30 - 17:30
Thursday 07:30 - 17:30
Friday 07:30 - 17:30
Saturday 09:00 - 17:30

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jamhuri Finishing Supplies posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share