13/08/2026
Mitambo inapata nishati, kazi inaanza rasmi site! Hatua ya kuweka mafuta kwenye mitambo yetu ili kuhakikisha ujenzi unaenda kwa kasi, bila kukwama, na kwa unyoofu wa hali ya juu. Sisi hatubahatishi maandalizi; kila kitu kinapangwa kwa umakini ili kutoa matokeo ya kifalme! πβ½ποΈβ¨
βSwali kwenu wadau wetu: Kwenye mradi mkubwa wa ujenzi, unaona ni bora kutumia mitambo ya kisasa (Heavy Machinery) au kutumia mafundi wengi wa mikono (Manual Labour)? Dondosha komenti yako hapa chini! ππ¬
βYour Desire, Our Priority. π€π
βπ Tujenge na kusimamia mradi wako kwa kasi na viwango vya kifalme, tupigie: +255 714 105 478
β