Mashimo Ya Vyoo Vya Kisasa

Mashimo Ya Vyoo Vya Kisasa Watalaamu wa ujenzi wa mashimo ya vyoo vya kisasa vinavyokaa muda mrefu bila kujaa maji taka,karibun

11/08/2026

Live

31/07/2026
30/07/2026

Arusha, Mianzini tumewafikia ,,kwa huduma za ujenzi wa mashimo ya vyoo vya kisasa,karibuni sana

Kwa mawasiliano zaidi piga simu 0764 921 513
Tupo Dodoma na Boma ngombe na pia mikoa yote tunafika

29/07/2026

Karibu sana kwa huduma zetu za ujenzi wa mashimo ya vyoo vya kisasa ambao hutumia mfumo maalumu unaojengwa kwa kudhibiti maji taka kujaa kwenye shimo

Location: ARUSHA,MAKUYUNI
PROJECT: SCHOOL PROJECT

Kwa mawasiliano Zaidi 0764 921 513

18/07/2026

Tulikua live Dodoma Mpamaa , tukijenga Mashimo Ya Vyoo Vya Kisasa
Karibu sana , Jinsi mfumo unavyofanya kazi
hutumia mfumo wa tofali maalumu zenye muundo wa mshazari / sambamba tenge ( trapezium) Kwa lengo la kuwezesha kukaa katika duara na kukaza bila ya hata kutumia cement, hivo basi hujishkiza Kwa uimara kabisa. Lengo ni kwamba, pale Maji taka yatakapo ingia yaweze kunyonywa na ardhi Kwa sababu baina ya tofali Moja na lingine hakuna kizuizi chochote na pia chini hakuna zege lililotangulia ivo kutokana na asili ya ardhi hua inafyonza Maji basi Maji yataweza kutoweka .

Faida za mfumo ni pamoja na

🔸Huokoa eneobMfumo huu huchukua eneo dogo kabisa la kiwanja chako.

🔸Kuchukua muda mrefu Hautonyonya maji taka mara kwa mara.

🔸Gharama Nafuu Ukilinganisha na mfumo wa zamani, mfumo huu unagharimu kwa bei ndogo tu.

🔸Hujengwa Kwa Siku chache ,Kwa siku nne/ tano ujenzi utakuwa umeshakamilika na tayari kwa matumizi.

🔸Uimara Shimo ni imara hata kwa shughuli za parking, ama unaweza kuweka usawa wa ardhi na ukaweka pave au ukataka shimo litoke juu na kufanya k**a kibalaza.

Karibu tumewaandalia website yenye Maelezo ya kina kuhusu huduma zetu (vipimo, Gharama na utaratibu wa kazi) tazama kupitia link hii
https://domlatrine.netlify.app

Kwa Instagram project Tazama kupitia link hii
https://www.instagram.com/dodoma_mashimo_ya_vyoo_kisasa?igsh=Ym1qcTk4bTFkYTUz

Tunapatikana Dodoma pamoja, pamoja na dar branc
Kwa mawasiliano zaidi piga 0764 921 513

Address

Dodoma
0000

Telephone

+255764921513

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mashimo Ya Vyoo Vya Kisasa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share