18/08/2026
nic_umeme inakuletea huduma zote za umeme wa MAJUMBANI, VIWANDANI,MAGHOROFANI, N.K....
TUNAFANYA SITE VISIT TANZANIA NZIMA.
>> DESIGN SIRCUIT PLAN..
Tunafanya Hatua ya awali kwa Kuanza na Michoro (drawns) pamoja uchanaji Kuta kwa kutumia MACHINE hii ni kuweza kuandaa mifumo ya uwekaji wa conduit pipe..
>>BACK UP SYSTEM..
Huu ni mfumo wa kisasa unao kuwa na optional za vyanzo tofauti vya umeme wa TANESCO-GENERATOR au SOLAR POWER PANNEL..
>>WIRRING INSTALLATION..
Tunafanya hatua ya uvutaji wa wire kwa kuzingatia sheria zote za umeme kwa umakini wa hali ya juu na kufanya vipimo ili kuweza kuruhusu umeme kwenye jengo la mteja..
>>DECORATION LIGHT /SWITCH INSTALLATION..
Tunahusika na swala zima la ufungaji wa taa za kisasa na switch installation..
>>MOTTER GATE INSTALLATIONAL..
Tunafunga moter gate za kisasa zinazo tumia REMOTE au cm janja.
>>FITTING PIPE AIR CONDITIONAL FITTING..
Huu ni mfumo wa maandalizi mazuri ya ufungaji wa Ac pasipo uharibifu wa ukuta wako
>>ELECTRICAL SECURITY FANCE..
Tunahusika na swala zima la kufunga short ya umeme kwenye ukuta wa fance yako kwa umakini mkubwa kabisa ili kulinda na kuimarisha ulinzi na usalama katika eneo la makazi yako.
>>CCTV CAMERA..
Tunahusika na ufungaji wa camera Aina zote kwa mwonekano angavu kabisa HD.
●JENGO LAKO NDIO OFISI YETU
●USHAURI KWETU NI BURE.
KWA MAWASILIANO
CALL 0672538800 #