Hardware Africa - Jotun Paints Tanzania

Directions Website

Hardware Africa - Jotun Paints Tanzania Hardware Africa Ltd is the sole agent of the Norwegian Multi-National Company, Jotun Paints in Tanzania and Zanzibar Island.

We also are the distributors of Graco Machinery and Spare Parts.

Je, hii ni rangi yako? 👀🎨
Wakati mwingine, rangi moja tu inatosha kubadilisha kabisa mwonekano wa nafasi yako.
Ungeipa n...
28/08/2026

Je, hii ni rangi yako? 👀🎨

Wakati mwingine, rangi moja tu inatosha kubadilisha kabisa mwonekano wa nafasi yako.
Ungeipa nafasi gani?

ExteriorProtection

🌧️ Mvua nje? Hakuna wasiwasi ndani! 🏠✨Kwa Jotashield Eterna, nyumba yako hupata ulinzi wa hali ya juu dhidi ya athari za...
21/08/2026

🌧️ Mvua nje? Hakuna wasiwasi ndani! 🏠✨

Kwa Jotashield Eterna, nyumba yako hupata ulinzi wa hali ya juu dhidi ya athari za mazingira, pamoja na mvua, huku ikidumisha uzuri wa rangi kwa muda mrefu.

✨ Kwa nini Jotashield Eterna?

* 🛡️ Uimara wa hali ya juu dhidi ya athari za hali ya hewa
* 🌧️ Self-Cleaning Technology — mvua husaidia kuosha uchafu kwenye kuta
* 💧 Husaidia kuzuia kupenya kwa maji huku ikiruhusu unyevu wa ziada kutoka
* 🧹 Anti-Dust Technology — hupunguza uchafu kushikamana na ukuta
* ✨ Dirt Streak Resistance — husaidia kupunguza alama za uchafu kwenye kuta
* 🧼 Excellent Washability — kuta ni rahisi kusafisha na kudumisha mwonekano mpya
* 🌿 Anti-Algae & Anti-Fungal protection kwa ulinzi wa muda mrefu katika mazingira ya kitropiki

17/08/2026

Ujenzi haupaswi kusimama kwa sababu ya kusubiri rangi. 🏗️🚚

Kutoka oda hadi site, tunahakikisha Jotun inafika kwa wakati.

JotunTanzania

Kila ukuta una thamani. Ipe nyumba yako rangi inayochanganya ubora, uzuri na uimara.JotunTanzania
16/08/2026

Kila ukuta una thamani. Ipe nyumba yako rangi inayochanganya ubora, uzuri na uimara.

JotunTanzania

Rangi za kuipa nyumba yako muonekano wa kifahari🙌🏻✨
12/08/2026

Rangi za kuipa nyumba yako muonekano wa kifahari🙌🏻✨

11/08/2026

Kabla & Baada ya Upakaji Rangi wa Ndani – Masaki, Dar es Salaam.

Tunapenda kuwasaidia wateja wetu kuzipenda nyumba zao - ukuta mmoja baada ya mwingine.

🎨 Rangi nzuri. Mandhari safi. 🏡 Nyumba inayovutia.

Uzuri unaoenda sambamba na maisha ya kila siku. 🏡✨Badili muonekano wa nyumba yako kwa rangi inayoleta mwanga, utulivu, n...
09/08/2026

Uzuri unaoenda sambamba na maisha ya kila siku. 🏡✨

Badili muonekano wa nyumba yako kwa rangi inayoleta mwanga, utulivu, na mvuto wa kipekee.

Jotun Fenomastic Wonderwall Life inakupa kuta safi kwa urahisi (rahisi kufuta), mazingira yasiyo na harufu ya rangi, na hewa safi ya ndani.

Upe ukuta wako hadhi unayostahili sasa!

31/07/2026

Matokeo mazuri ya mradi wako huanza hapa. ✨

Unataka kufanyiwa DEMO? Wasiliana nasi:+255 682 563 492

Matokeo mazuri ya mradi wako huanza hapa. ✨Unataka kufanyiwa DEMO? Wasiliana nasi: +255 682 563 492
31/07/2026

Matokeo mazuri ya mradi wako huanza hapa. ✨

Unataka kufanyiwa DEMO? Wasiliana nasi: +255 682 563 492

Kutoka kwenye muonekano hafifu hadi angavu.Mabadiliko haya yamebadilisha kabisa muonekano na kulipa jengo uhai mpya.Ikiw...
22/07/2026

Kutoka kwenye muonekano hafifu hadi angavu.

Mabadiliko haya yamebadilisha kabisa muonekano na kulipa jengo uhai mpya.

Ikiwa umekuwa ukifikiria kuboresha au kubadilisha rangi za jengo au nyumba yako, wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na ushauri wa kitaalam.

Address

Mkwepu Street
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:30
Tuesday 09:00 - 17:30
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:30
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hardware Africa - Jotun Paints Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category