03/08/2026
BRILLIANT WHITE IT 5 CLADDING SHEETS
Mabati haya ni mahususi kwa kuta za maghala, viwanda, na majengo makubwa ya kibiashara. Rangi yake ya Brilliant White haileti tu muonekano nadhifu na wa kisasa, bali pia inasaidia kuakisi mwanga wa jua na kupunguza joto ndani ya jengo lako.
Je, unahitaji mabati haya imara kwa ajili ya mradi wako unaofuata? Tutumie ujumbe (DM) au tupigie sasa hivi kupata vipimo vyako!
Piga : 0744 221 201
These sheets are specifically engineered for the cladding of warehouses, factories, and large commercial structures. The Brilliant White finish doesn’t just offer a sleek, modern look—it provides premium wall cladding that reflects solar heat to keep your facility naturally cooler.
Get your custom quote today!
Call : 0744 221 201