05/10/2026
WEKEZA KWENYE UHURU WA NISHATI!
Tunajivunia kushirikisha mradi tuliomfungia mteja wetu mfumo mkubwa wa Solar Hybrid wenye uwezo wa kumsaidia kuendelea na matumizi ya umeme masaa 24 kwa siku.
18kW Hybrid Inverter
45kWh Lithium Battery
17.55kWp Solar Array
Matokeo?
Mteja wetu anaendelea kutumia mfumo wake wa umeme bila kutegemea umeme wa TANESCO k**a chanzo chake kikuu cha nishati.
Mfumo unazalisha na kuhifadhi nishati ya jua wakati wa mchana, huku betri ikisaidia kuendelea kutoa umeme wakati wa usiku na pale ambapo hakuna uzalishaji wa jua.
Suluhisho bora kwa:
π’ Biashara & Ofisi
π¨ Hotels
π« Shule
π Viwanda & Workshops
π Nyumba kubwa
πΎ Farms & Commercial Projects
Usisubiri bili kubwa za umeme au kukatika kwa umeme kuathiri shughuli zako. Wekeza kwenye Solar na udhibiti zaidi matumizi ya nishati yako.
π JH SOLAR SOLUTIONS
π² +255 768 782 192
π§ [email protected]
π Tunafanya delivery & installation Tanzania nzima.
JH SOLAR SOLUTIONS β Power Your Future.