15/10/2026
Kutoka kwenye oil pan iliyopasuka hadi engine overhaul π€¦ββοΈ Mteja aligonga chemba ya oili na badala ya kusubiri oil sahihi ya 0W-20, akaweka oili nzito ya 20W-50 kwenye gari la kisasa na engine imefeli kabisa na sasa tunafanya engine overhaul. Usiweke oili isiyo sahihi kwa sababu tu una haraka utaua engine yako na kuongeza gharama ya ukarabati wa Gari lako. Kwa huduma za uhakika za Gari lako karibu SALUM SUBARU GARAGE β¨π
Kwa mawasiliano +255787958177