24/02/2026
Hatua za kazi Mahususi katika Ufanyaji wa Wiring Ktk Nyumba/ Majengo aina Zote:
Phase1:
Hii ni Hatua Muhim Sana ya Kazi Ambayo lengo lake kuu ni kutengeneza Plan ya kazi Nzima, kuwepo au kukoseka uwezekano wa baadhi ya vitu kufanyika ktk Hatua zitazo fuata hutegemea Hatua ya kwanza ilifanyikaje. Kwamfano, A/c, Heater, wall light, socket, electrical fence, pump, exhaust outlet n.k lazima hv Vyote view vimekuwa planed ktk phase1.
Phase2:
Hapa ni Hatua ya wiring mara nyingi hufuata mpango/ plan ya kwanza na hivo hii Hatua ni ya utekelezaji kwa kufuata Mpango uliowekwa.
Mazingatio:
Hiii ni Hatua ambayo inakupasa uhakikishe unapata Mtaalam sahihi kwa Maana Hatua hiii ndio imebeba vipitishio Umeme, vilinda Umeme na vitumiaji Umeme pia hutegemea Sana Hatua hiii, mambo ya kuhakikisha.
✓ Usalama ( Safety ),
✓ Ubora ( Quality ) &
✓ Viwango ( proper standard ).
Phase3:
Ufungaji wa Vifaa ( accessories Installation ), socket, fan, A/c, switch, Heater Taa n.k
Nina Masomo Mengi ya kukufundisha ww ili uondokane na gharama zisizokuwa za lazima na kujua kuchagua mtu sahh kwenye kazi yako, k**a Unamaswali Zaid weza kuwasiliana nasi, Ushauri ni Bure piga,
simu namba: 0788745977 ( Whatsup ).
mkandarasi Umeme: Munisi Ndeamu.
leseni Namba: ELC-2024-443.