26/09/2026
PROPOSED FIVE STAR HOTEL
Hotel ya hazi ya nyota tano, ikiwa ni majengo ya minara pacha yenye kuvutia na ya kipeke sana, tower moja ni kumbi kubwa zenye vigezo vya kimataifa na kukizi mikutano ya aina zote, upande mwingine ni hotel ya nyota tano ikiwa na vyumba vya kisasa vilivyo gawanyika katika makundi matatu Executive suite, deluxe rooms, joniour suite, restaraunt na bar, bussiness centre, jewels shop, posh waiting lounge, staff rooms, administration office, Swiming pool at mezzanine floor, jengo hill 100% umeme linatumia solar power zenye uwezo mkubwa wa kuzalisha nishati ya kukizi mahitaji yote ya hotel, japo grid ya tanesco na powerfull standby generator lipo connectec katika power house, Mchoro huu ni kwa wale wanataka uwekezaji makini wenye kurudisha thamani ya fedha za uwekezaji wasiliana nasi leo kwa ushauri wa ramani na ujenzi
DM & Whatsaap +255 624 003 003