Mnonda Glasswork solution

Mnonda Glasswork solution Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mnonda Glasswork solution, Contractor, tegeta azania, Dar es Salaam.

Glass & Aluminium Works Specialists
๐Ÿ”น Shower cabins | Frameless glass
๐Ÿ”น Doors, Windows & Balustrades
๐Ÿ”น Modern designs, clean finishing
๐Ÿ“ Dar es Salaam Tegeta Azania
๐Ÿ“ฒ WhatsApp: 255673641792
WE BUILD THE QUALITY OF YOUR DREAM ๐Ÿ™๐Ÿผ

10/08/2026

Water drainage & silicone sealant ni muhimu!
Husaidia kuzuia maji ya mvua kuingia ndani au kuharibu ukuta, hasa kwenye hidden roof na madirisha yaliyo kwenye uelekeo wa mvua.
More info cont: +255673641792
WE BUILD THE QUALITY OF YOUR DREAM ๐Ÿ™๐Ÿผ

08/08/2026

Tunamshukuru sana mteja wetu wa kwanza aliyeamini na kukubali idea yetu. ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Ametufungulia njia na kuwa mwanga kwa wengine kuona uwezo wa mawazo yetu k**a vijana.
Tumesikiliza mahitaji ya mteja, kushauriana na kuleta kitu UNIQUE kulingana na project yake.
Leo tunafanya nyingine k**a hii, na safari inaendelea. ๐Ÿ”ฅ
Saloot kwa team yangu kwa ujumla๐Ÿ’ช๐Ÿผ
WE BUILD THE QUALITY OF YOUR DREAM.

06/08/2026

Kioo cha 6mm Tinted Gray ni chaguo letu la kwanza kwa sababu hakipauki na hubaki na mwonekano wake wa asili kwa miaka mingi.
Kutoka nje huonekana Pure Black, huku ukiwa ndani kikiruhusu mwanga wa kutosha kuingia na kutoa mazingira yenye mwonekano wa kifahari na wa kisasa.
Ni chaguo bora kwa madirisha mapana na marefu kutokana na uimara wake na ubora wa hali ya juu.
Furaha yetu ni kuona kila kazi tunayokabidhi kwa mteja ikiongeza thamani, uzuri na ubora wa nyumba yake.
WE BUILD THE QUALITY OF YOUR DREAM ๐Ÿ™๐Ÿผ

04/08/2026

Let the quality speak for itself.
More info & site visiting cont +255673641792.
WE BUILD THE QUALITY OF YOUR DREAM ๐Ÿ™๐Ÿผ

03/08/2026

Euro section two truck profile sliding & Awning casement windows for toilet installation on progress ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
WE BUILD THE QUALITY OF YOUR DREAM ๐Ÿ™๐Ÿผ

29/07/2026

Happy moments ๐Ÿ’ช๐Ÿผ

28/07/2026

Double glass sliding window
Euro section two truck profile๐Ÿ”ฅ
Project located at Msasani๐Ÿ“Dsm
More info cont: +255673641792
WE BUILD THE QUALITY OF YOUR DREAM.

21/07/2026

Angalia jinsi Tinted Gray Glass 6mm pamoja na Euro Section zinavyoongeza thamani na muonekano wa kisasa kwenye nyumba yako.
Sisi tunazingatia finishing safi, ubora unaodumu.
Cont +255673641792.
WE BUILD THE QUALITY OF YOUR DREAM.

20/07/2026

Mliiulizia, sasa imepatikana.
Tunafurahi kuwataarifu kuwa profile mpya ambayo wengi wenu mmekuwa mkiiulizia sasa inapatikana.
Ahsanteni sana kwa wote mlioendelea kutusukuma na kutupa hamasa hadi kufanikisha upatikanaji wa connection hizi. Tunathamini imani yenu na tunaahidi kuendelea kuwaletea bidhaa bora na huduma zenye viwango.
Karibu tufanye project yako kuwa ya kipekee.
More info cont +255673641792
We are located at Tegeta Azania Dsm
WE BUILD THE QUALITY OF YOUR DREAM

17/07/2026

Je, una dirisha kubwa la sebuleni (sitting room) na unahitaji lifunguke kwa upana zaidi?
Tumekuletea suluhisho! Mfumo huu unaruhusu dirisha kufunguka hadi karibu robo tatu ya upana wake, hivyo kuingiza hewa ya kutosha na mwanga wa asili.
More info cont: +255673641792

Address

Tegeta Azania
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mnonda Glasswork solution posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category