MaraOne Technology

MaraOne Technology Cctv camera
Electric fence
Air conditionin
Electrical wiring
Intruders alarms
Automatic gate motors Tunafika popote Tanzania

22/08/2026

Yaani ikiwa unataka kazi mpya, ama unayo inayo kusumbua,,, tuite tutaisuka vizuri a hutasumbuka tena..

19/08/2026

Una hitaji electric fence mpya na bora?
Una sumbuliwa na electric fence yako??

✴️ Wasiliana nasi kwa huduma bora kabisa na inayo akisi thamani ya pesa yako...

πŸ“© MaraOne Technology
πŸ“Œ +255777771221

03/08/2026

Chaguo ni lako, ulie mara moja au ulie mara kwa mara,,
✳️ Ukitaka kupata thamani ya pesa yako, tuone MaraOne Technology
✳️ Ukitaka vya bei rahisi visivyo na thamani,, wacheki wengine tu

02/08/2026

Popote ulipo ukihitaji ubkra, tunakufikia,,,

✳️ CCTV installation inafanyika hapa mjini Lushoto,, njia ya kwenda mlalo...

27/07/2026

26/07/2026

HUTAKI GETI LAKO LIGONGWE KWA JIWE..!?

✴️ FAIDA ZA HII KENGELE
πŸ‘‰ Hii kengele itakusaidia kumuona mgeni wako kabla ya kwenda kumfungulia,, matokeo yake una epuka mengi
πŸ‘‰ Ina kuepushia usumbufu wa kwenda getini kumbe unge malizana na mtu kwa kuongea nae kabla ya kufungua
πŸ‘‰ Ina saidia kuwakwepa usio wataka,, πŸ˜‚ πŸ˜‚ k**a wadeni wako, atapiga kengele wewe una muangalia kisha hufungui,, πŸ˜‚ πŸ˜‚
✴️ Tuone MaraOne Technology tukufungie hii hata k**a hukuweka njia zake, tutakufungia bila mawaya waya kuning'inia k**a uonavyo hapo juu,,,

πŸ“ Tupo Darusalaaaam,,
πŸ“ž +255777771221
πŸ“© MaraOne Technology

Address

Kinondoni Mkwajuni, Masauni Street House No 26, Near Garden Police Post
Dar Es Salaam

Telephone

+255752313121

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MaraOne Technology posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share