ALAF Limited

Call Directions Website Contact the business

ALAF Limited ALAF Limited ni watengenezaji wa bidhaa bora za suluhisho za ujenzi kwa ajili ya matumizi ya watu binafsi, biashara na miradi tofauti.

ALAF Limited inasifika kwa kuwa na bidhaa bora zaidi sokoni, na ndio maana tunasema ukiwa na ALAF, Ukiweka Umeweka!

πŸ“ž Huduma kwa wateja imeboreshwa zaidi!Kupitia kituo chetu kipya cha huduma kwa wateja, tunarahisisha mawasiliano na kuha...
09/10/2026

πŸ“ž Huduma kwa wateja imeboreshwa zaidi!

Kupitia kituo chetu kipya cha huduma kwa wateja, tunarahisisha mawasiliano na kuhakikisha wateja wetu wanapata msaada wanaohitaji kwa urahisi zaidi. 🀝

Unahitaji msaada? Piga simu bila malipo kupitia 0800 750 194, tutafurahi kukuhudumia! ☎️

Huduma bora zaidi, mawasiliano rahisi na kujituma zaidi kwa kila mteja. 🌟

πŸš€ Kesho tunafungua ukurasa mpya!ALAF inakuletea kitu kipya, na hatutaki ukikose. πŸ‘€βœ¨Jiunge nasi LIVE kesho, saa 4:00 asub...
06/10/2026

πŸš€ Kesho tunafungua ukurasa mpya!

ALAF inakuletea kitu kipya, na hatutaki ukikose. πŸ‘€βœ¨

Jiunge nasi LIVE kesho, saa 4:00 asubuhi kupitia Instagram na Facebook, tusherehekee pamoja hatua hii mpya.

Usipange kukosa! πŸ”₯

06/10/2026

Heri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja!
Wateja wetu ndiyo sababu ya kila tunachofanya. Uaminifu wenu na ushirikiano wenu unaoendelea hutupa hamasa ya kuendelea kuinua viwango na kujituma zaidi kila siku. πŸ’™

05/10/2026

Tuko hapa kwa ajili yako. 🀝

Una swali kuhusu bidhaa zetu? Unahitaji taarifa zaidi au msaada wa aina yoyote? Timu yetu ya Huduma kwa Wateja iko tayari kukusikiliza na kukusaidia.

Wiki hii ya Huduma kwa Wateja, tunawatambulisha watu walio nyuma ya huduma hii na kusherehekea timu inayohakikisha kila mteja anapata msaada anaouhitaji.

Kwa swali lolote, usisite kuwasiliana nasi. Tuko hapa kwa ajili yako. πŸ’™

πŸ“ž 0800 750 194
🌐 shop.alaf.co.tz

Ubora wa kweli huonekana zaidi ya rangi yake. Usichague kwa mwonekano pekee, chagua ubora unaokupa thamani ya kweli kwa ...
03/10/2026

Ubora wa kweli huonekana zaidi ya rangi yake. Usichague kwa mwonekano pekee, chagua ubora unaokupa thamani ya kweli kwa muda mrefu. 🏠

COVERMAX imeundwa kukupa kuezeka kwa ufanisi zaidi, uimara unaoaminika na utulivu wa muda mrefu kwa nyumba yako.

πŸ“ž Wasiliana nasi BURE kupitia 0800 750 194 kwa maelezo zaidi.

01/10/2026

Huenda umewahi kusikia neno SAFBUILD na ukajiuliza, β€œHii ni nini na inaweza kunisaidiaje kwenye ujenzi wangu?” πŸ€”πŸ—οΈ

Katika video hii, mtaalamu wa ALAF anaeleza SAFBUILD ni nini, inafaa kwa aina gani ya ujenzi na kwa nini inaweza kuwa chaguo zuri kwa mradi wako.

Je, umewahi kusikia msemo "bati ni bati tu"?Ukweli ni kwamba si mabati yote yanafanana. Tofauti huanzia kwenye malighafi...
30/09/2026

Je, umewahi kusikia msemo "bati ni bati tu"?

Ukweli ni kwamba si mabati yote yanafanana. Tofauti huanzia kwenye malighafi, ubora wa utengenezaji, uimara na dhamana ya bidhaa.

Kabla ya kufanya uamuzi, hakikisha unachagua bati linalokupa uhakika wa muda mrefu.

Chagua ALAF, ishi nayo.

πŸŽ–οΈ Kwa zaidi ya miaka 65, ALAF imekuwa chaguo la kuaminika kwa paa bora.✨ Ukiwa na LIFESTILE, unaipa nyumba yako haiba y...
29/09/2026

πŸŽ–οΈ Kwa zaidi ya miaka 65, ALAF imekuwa chaguo la kuaminika kwa paa bora.

✨ Ukiwa na LIFESTILE, unaipa nyumba yako haiba ya kipekee kupitia rangi na mitindo mbalimbali.

πŸ’¬ Ni rangi ipi unayochagua kubadilisha mwonekano wa nyumba yako?

πŸ“ Tembelea showroom ya ALAF iliyo karibu nawe
πŸ“ž Wasiliana nasi BURE kwa 0800 750 194

Wikiendi hii, timu yetu ya ALAF ilijumuika katika maadhimisho ya miaka 10 ya Tanga City Marathon. πŸŽ‰Hongera kwa wote wali...
28/09/2026

Wikiendi hii, timu yetu ya ALAF ilijumuika katika maadhimisho ya miaka 10 ya Tanga City Marathon. πŸŽ‰

Hongera kwa wote waliojitoa, kujitokeza na kushiriki katika mbio hizi. Ilikuwa ni furaha kuwa sehemu ya tukio hili maalum.

Address

ALAF Limited
Dar Es Salaam
2070

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 13:00

Telephone

+255800750194

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ALAF Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to ALAF Limited:

Shortcuts

Share