Thebridgegulio

Thebridgegulio Tupo DSM Sinza Mori, mtaa wa nyuma ya Delina Apartment . Agiza kutoka China/Nunua dukani DSM: WhatsApp : +255715316614
Tufollow Insta

Mashine maalum za kupack bidhaa mbalimbali kuiongezea thamani zaidi bidhaa yako (HEAT GUN), Wanaofunga bidhaa zao kwa na...
25/08/2026

Mashine maalum za kupack bidhaa mbalimbali kuiongezea thamani zaidi bidhaa yako (HEAT GUN), Wanaofunga bidhaa zao kwa nailoni laini nje kulinda package ya bidhaa yake kwa vumbi, kuchubuka na kupoteza quality kabla mteja hajaanza kuitumia, hata wale wanaopack bidhaa zao kwenye cattons n.k.Pia zinatumika k**a remover sehemu tofauti k**a kuondoa rangi, gundi n.k.

Bei 58,000/= tu, tupo Sinza Mori jirani na Delina Apartment. Simu/Whatsapp 0715 316 614.

Mashine zinasaga vitu vyote vikavu kuwa unga laini kabisa au size uitakayo, Pia zinasaga peanut butter, garlic paste na ...
24/08/2026

Mashine zinasaga vitu vyote vikavu kuwa unga laini kabisa au size uitakayo, Pia zinasaga peanut butter, garlic paste na hata rojo ya tangawizi.

Tulizonazo dukani ni Gram 800: BEI (198,000/=) na za 2.5Kg (Kilo 2 na Nusu) BEI: 480,000/=

Tupo Sinza Mori jirani na Delina Apartment.Namba ya simu/Whatsapp: 0715 316 614.

24/08/2026

Mashine zenye kazi nyingi sana na uimara mkubwa mno!!! Mashine zinasaga vitu vyote vikavu kuwa unga laini kabisa au size uitakayo, Pia zinasaga peanut butter, garlic paste na hata rojo ya tangawizi.

Tulizonazo dukani ni Gram 800: BEI (198,000/=) na za 2.5Kg (Kilo 2 na Nusu) BEI: 480,000/=

Tupo Sinza Mori jirani na Delina Apartment.Namba ya simu/Whatsapp: 0715 316 614.

Hizi ni mashine za kupukuchua mahindi, Design hii ina kazi mbili:1.Kumenya maganda ya mahindi 2.Kupukuchua mahindi Uwezo...
22/08/2026

Hizi ni mashine za kupukuchua mahindi, Design hii ina kazi mbili:
1.Kumenya maganda ya mahindi
2.Kupukuchua mahindi

Uwezo: 700-1500kg/Saa.
Engine yake ni ya petrol yenye 9.5HP
BEI: 1,690,000/=

Mashine tayari zipo ofisini kwetu na popote tunatuma mzigo, tupo Sinza Mori jirani na Delina Apartment. Simu/Whatsapp 0715 316 614

22/08/2026

Mashine za kupukuchua mahindi aina mpya, design hii ina kazi mbili:
1.Kumenya maganda ya mahindi
2.Kupukuchua mahindi

Uwezo: 700-1500kg/Saa.
Engine yake ni ya petrol yenye 9.5HP
BEI: 1,690,000/=

Mashine tayari zipo ofisini kwetu na popote tunatuma mzigo, tupo Sinza Mori jirani na Delina Apartment. Simu/Whatsapp 0715 316 614

22/08/2026

Mashine za kupukuchua mahindi zimerudi tena ofisini kwetu KWA UCHACHE! Mliokuwa mnaziulizia bei ni 1,350,000 tu. Mashine ina uwezo wa kupukuchua zaidi ya Tani 1 kwa saa 1 (Kilo 1200 kwa saa). Mashine ni ya mafuta ya PETROL popote ulipo unaweza kuitumia.

Tunapatikana Sinza Mori jirani na Delina Apartment, namba zetu za simu/Whatsapp: 0715 316 614. Ukihitaji kusafirishiwa ulipo tunaweza kukutumia.

MZIGO MPYA!!!Mashine hizi za kupukuchua mahindi zimerudi tena ofisini kwetu KWA UCHACHE! Mliokuwa mnaziulizia bei ni 1,3...
22/08/2026

MZIGO MPYA!!!Mashine hizi za kupukuchua mahindi zimerudi tena ofisini kwetu KWA UCHACHE! Mliokuwa mnaziulizia bei ni 1,350,000 tu. Mashine ina uwezo wa kupukuchua zaidi ya Tani 1 kwa saa 1 (Kilo 1200 kwa saa). Mashine ni ya mafuta ya PETROL popote ulipo unaweza kuitumia.

Tunapatikana Sinza Mori jirani na Delina Apartment, namba zetu za simu/Whatsapp: 0715 316 614. Ukihitaji kusafirishiwa ulipo tunaweza kukutumia.

Tunavyo vifaa  hivi maalum kwa ajili ya kukamua maziwa ya mbuzi, kondoo n.k. Kifaa ni manual hakitumii umeme. Bei: 89,00...
21/08/2026

Tunavyo vifaa hivi maalum kwa ajili ya kukamua maziwa ya mbuzi, kondoo n.k. Kifaa ni manual hakitumii umeme. Bei: 89,000/= (LITA 3) na 79,000/= (LITA 2)

Ofisi zetu zipo Sinza Mori jirani na Delina Apartment. Simu/Whatsapp 0715316614.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

0715316614

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Thebridgegulio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share