Mhandisi Majengo

Mhandisi Majengo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mhandisi Majengo, Construction Company, Mbagala Majimatitu, Dar es Salaam.

🏗️ Trusted Civil Engineer

Ujenzi wa Nyumba na Majengo ya Biashara

🔧 Design • Ramani • Ujenzi Kamili

📍Temeke - Dar es Salaam

📞 0718600290 | 0755489000

✉️ [email protected]

🎓 Dar Es Salaam Insitute of Technology [DIT] Alumni

25/08/2026

We're Up

📍Singida
_______________

Huduma Zetu | Our Services

1) Hydrogeological Survey

2) Uchimbaji Wa Visima Vya Maji

3) Usafishaji Wa Visima Na Marekebisho

4) Ufungaji Na Matengenezo Ya Pump

Ushauri Ni Bure

0718600290 | 0745687585

[email protected]

Smart Decisions Today | Lasting Value Tomorrow

24/08/2026

Huduma Zetu | Our Services

1) Hydrogeological Survey

2) Uchimbaji Wa Visima Vya Maji

3) Usafishaji Wa Visima Na Marekebisho

4) Ufungaji Na Matengenezo Ya Pump

Ushauri Ni Bure

0718600290 | 0745687585

[email protected]

Smart Decisions Today. Lasting Value Tomorrow

22/08/2026
19/08/2026

Pro Water Consultancy Limited | Tunachimba Visima Vya Maji Vya Uhakika

Ikiwa Umetafuta Huduma Ya Kuchimba Kisima Kwa Uhakika Ili Uhakikishe Pesa Yako Haipotei Kwa Kazi Ya Kubahatisha Basi Tunalo Suluhisho Kwa Ajili Yako

Tunakuletea Huduma Ya Uchimbaji Wa Visima Vya Maji Kwa Viwango Vya Juu Sana Na Zaidi Ya Yote, Tunakupa Guarantee Ya Huduma Yetu, Ikiwa Ni Pamoja Na:

🔹 Uhakika Wa Ubora

🔹 Upatikanaji Wa Maji

🔹 Huduma Baada Ya Uchimbaji

🔹 Kudumu Kwa Kisima

🔹 Huduma Kwa Wateja

📍Tunatoa Huduma Zetu Mikoa Yote Ya Tanzania

Wasiliana Nasi Leo

0718 600 290

[email protected]

Guarantee Inakuwepo Kwa Kila Kisima Tunachochimba

18/08/2026

Furaha ya Maji Safi Haijifichi! 😍

​Tunajivunia kuleta tabasamu hizi kwa kutoa huduma ya uhakika ya uchimbaji wa visima na ufungaji wa pampu imara

​✨ Kazi Safi | Maji Safi | Furaha ya Kudumu ✨

​Je, una mradi wa jamii, shule, au shamba unaohitaji maji ya uhakika?!

Usibatishe! 🛠️

​Tunatoa Huduma Kamili Kuanzia:

1. ​Utafiti wa maji chini ya ardhi [Hydrogeological Survey] kwa teknolojia ya kisasa

2. ​Uchimbaji wa kitaalamu unaozingatia viwango vya ubora

3. ​Ufungaji wa pampu za mkono, za umeme, na za sola [solar] zenye ubora wa juu

​📢 Tunakupa uhakika wa maji, sio ahadi hewa

​📞 Piga / WhatsApp: 0718 600 290

📍 Tunafika Popote Nchini

16/08/2026

SURVEY YA MAJI YA CHINI YA ARDHI

📍 Parokia Ya Mt Josephine Bakhita - Tabora
_____________________

- USICHIMBE KISIMA KABLA YA SURVEY

Epuka Hasara Kubwa Na Majuto

Fanya Survey Ya Kitaalamu Ya Maji Kabla Ya Kuchimba Kisima Kwenye Eneo Lako

🔎 UKICHIMBA KISIMA NASI UNAPATA:

- Uhakika Wa 100% Kupata Maji Ya Kudumu

- Maji Safi, Salama Na Yanayofaa Kwa Matumizi Ya Kila Siku

- Ushauri Wa Kitaalamu Kabla Ya Uchimbaji

- Huduma Ya Uhakika

📞 USHAURI NI BURE – WASILIANA NASI SASA

0718 600 290 | 0745 687 585

📧 [email protected]

Usiyoyajua Kuhusu Underground Water Survey Ambayo Yatakugharimu Siku Za Usoni...Underground Water Survey... Ni kufanya u...
15/08/2026

Usiyoyajua Kuhusu Underground Water Survey Ambayo Yatakugharimu Siku Za Usoni...

Underground Water Survey... Ni kufanya utafiti wa maji chini ya ardhi ili kubaini ni wapi kisima kinaweza kuchimbwa na kutoa matokeo ya upatikanaji wa maji

Baada Ya Survey...

∆ Hujulikana kina halisi ambacho maji yatapatikana katika eneo husika hivo kuandaa makadirio sahihi ya gharama ya uchimbaji

∆ Kujua sehemu iliyopitiwa na mikondo ya maji hivo kuepusha gharama [hasara] ya kuchimba eneo kame ambalo huenda halipitiwi na mikondo ya maji

TAHADHARI

Usinunue shamba au kujenga nyumba kwenye kiwanja chako bila kufanya "UNDERGROUND WATER SURVEY" ili kuepusha kununua shamba ambalo huenda halipitiwi na mikondo ya maji au kujenga sehemu yenye mkondo wa maji, ukashindwa kuchimba kisima katika eneo lako

Na kwasababu bado tupo MWANZA kwa ajili ya projects za underground water surveying...

Kwa kipindi chote hiki tunakupa EXCLUSIVE OFA kwa huduma yetu ya Surveying kwa wakazi wote wa MWANZA na Kanda Ya Ziwa...

USIKUBALI KUPITWA!!!

Lipia 450,000/= TUU kwa ajili ya Survey

Badala ya 850,000/= gharama ya kawaida OKOA zaidi ya 400,000/= kwa kufanya survey nasi sasa

KUMBUKA: OFA Hii ni ya siku 5 Pekee

Piga Simu Sasa Kuweka Order Yako

0718600290 | 0745687585

Pro Water Consultancy Limited... Where Thirsty Ends!!

KISIMA KITAKUGHARIMU SHILINGI NGAPI DAR ES SALAAM?!Baada Ya Kufanya Ground Water Survey Na Kuchimba Visima Katika Maeneo...
13/08/2026

KISIMA KITAKUGHARIMU SHILINGI NGAPI DAR ES SALAAM?!

Baada Ya Kufanya Ground Water Survey Na Kuchimba Visima Katika Maeneo Mbalimbali Ya Mkoa Wa Dar Es Salaam, Tumegundua Kuwa Maeneo Mengi Huangukia Katika Makundi Matatu Makuu Kulingana Na Kina Cha Maji Chini Ya Ardhi.

1. KUNDI LA KWANZA: VISIMA VIFUPI

Mita 20 Hadi 40

Maeneo: Mji Mwema, Dege, Geza, Kimbiji, Vijibweni, Pemba Mnazi, Kibugumo, Masaki, Oysterbay, Mikocheni, Mbweni, Kariakoo, Posta, Ununio, Mbezi Beach.

Makadirio Ya Gharama: Milioni 4

2. KUNDI LA PILI: VISIMA VYA KATI

Mita 50 Hadi 90

Maeneo: Chanika, Buza, Ukonga, Buguruni, Tandika, Tabata, Ubungo, Magomeni, Ilala, Vikindu, Kisemvule, Gongo La Mboto, Kitunda, Kiwalani, Kinyerezi, Kisarawe II, Kibada, Mikwambe, Kijichi, Mwenge, Kijitonyama, Kawe, Toangoma, Kongowe, Mwasonga, Mbagala, Keko Na Temeke.

Makadirio Ya Gharama: Milioni 4.5 Hadi Milioni 6.5

3. KUNDI LA TATU: VISIMA VIREFU

Mita 100 Hadi 150

Maeneo: Madale, Mvuti, Salasala, Kimara, Goba, Kifuru, Kibamba, Mloganzila, Segerea, Mwembe Mtengu, Kiluvya, Tegeta Na Mbezi.

Makadirio Ya Gharama: Milioni 7.5 Hadi Milioni 15

GHARAMA HIZI ZINAHUSISHA:

(i) Uchimbaji Wa Kisima

(ii) Ufungaji Wa PVC Pipes

(iii) Kusafisha Kisima [Flushing]

(iv) Ufungaji Wa Pump Ya Umeme

MUHIMU:

Makadirio Ya Kina Cha Kuchimba Kisima Kinategemea Matokeo Ya Ground Water Survey Na Hali Ya Jiolojia Ya Eneo Husika

Hivyo Kina Halisi Kinaweza Kutofautiana Kutoka Eneo Moja Hadi Jingine

Kwa Mahitaji Ya Ground Water Survey Ya Uhakika, Uchimbaji Wa Visima, Ufungaji Wa Pump Na Ushauri Wa Kitaalamu, Wasiliana Nasi Leo

USHAURI NI BURE

0718600290 | 0755489000

[email protected]

13/08/2026

We're Up

📍Itulo - Tabora
___________________________________

💦 Huduma Zetu | Our Services

💧 Underground Water Survey

🚰 Uchimbaji Wa Visima Vya Maji

🔧 Usafishaji Wa Visima Na Marekebisho

⚙️ Ufungaji Na Matengenezo Ya Pump

💙 Ushauri Ni Bure

📞 0718600290 | 0745687585

📧 [email protected]

12/08/2026

SURVEY YA MAJI YA CHINI YA ARDHI

📍 Itulu, Sikonge - Tabora
_____________________

-USICHIMBE KISIMA KABLA YA SURVEY

Epuka Hasara Kubwa Na Majuto

Fanya Survey Ya Kitaalamu Ya Maji Kabla Ya Kuchimba Kisima Kwenye Eneo Lako

🔎 UKICHIMBA KISIMA NASI UNAPATA:

-Uhakika Wa 100% Kupata Maji Ya Kudumu

- Maji Safi, Salama Na Yanayofaa Kwa Matumizi Ya Kila Siku

- Ushauri Wa Kitaalamu Kabla Ya Uchimbaji

- Huduma Ya Uhakika

📞 USHAURI NI BURE – WASILIANA NASI SASA

0718 600 290 | 0745 687 585

📧 [email protected]

Address

Mbagala Majimatitu
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mhandisi Majengo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mhandisi Majengo:

Shortcuts

Share