Avanc Energy Services and Consultancy

Avanc Energy Services and Consultancy Experts in CNG Cylinder Inspection, HSE risk assessment, Accident investigation, Short Trainings etc

We are open
25/05/2026

We are open

Ukianza kutumia gesi kwenye gari yako kwanza utapunguza hasira za mara kwa mara za bei ya mafuta Karibu kuwasiliana nasi...
17/04/2026

Ukianza kutumia gesi kwenye gari yako kwanza utapunguza hasira za mara kwa mara za bei ya mafuta

Karibu kuwasiliana nasi sasa

Tupo site.
0792 900 637
0745 799 903

17/04/2026

Okoa zaidi ya 70% ya gharama ya mafuta kwa kutumia gesi kwenye gari yako.

Achana na wanaosema gari inaharibika, sio kweli
Kutana na watalaamu wa kazi hii, utatushkuru

Za chini sana, bei yako kufunga mfumo wa gesi huenda ikapanda mwezi ujao maana vifaa vinaisha. Wahi sasa

Tupigie leo kwa taarifa zaidi
0792 900 637
0745 799 903

15/04/2026

Wakati Watu wengi wakihitaji kufunga mfumo wa gesi kwenye magari yao, mafundi bado ni wakuwatafuta kwa tochi, yaani ni wachache sana. 🚫❌🚫

Wateja ni wengi kuliko mafundi, ni wakati sasa wa mafundi wa kawaida wa magari kujifunza kufunga mfumo wa gesi kwenye magari πŸ”₯ πŸ”πŸš˜πŸšŒπŸš—

Njoo ujifunze ufundi na utaalamu wa kufunga mfumo wa gesi kwenye magari na bajaji.πŸ› οΈπŸ›»πŸš›πŸšŒπŸš•

Kozi itakuwepo mwezi wa tatu kuanzia tarehe 27
Itafanyikia ofisini kwetu Posta Dar es Salaam Jengo la PSSSF samora house, Floor ya kwanza Wing A
Ada ni nafuu na inaweza kulipwa kwa awamu

Karibu wewe au mlete kijana wako apate ujuzi atakaoweza kujiajiri na kuajiriwa katika sekta mpya ya magari ya gesi na vituo vya gesi.

Wahi sasa, wasiliana nasi kujisajili.
0792900637

Experts in CNG Cylinder Inspection, HSE risk assessment, Accident investigation, Short Trainings etc

20/02/2026

Idadi ya vituo vya gesi asilia imefika vituo 11 πŸ”₯. Hakuna foleni tena, ni kujaza na kuondoka.

Wataalamu wa kufunga gesi kwenye magari bado ni wachache sana

Njoo ujifunze ufundi na utaalamu wa kufunga mfumo wa gesi kwenye magari na bajaji.

Kozi itakuwepo mwezi wa tatu kuanzia tarehe 16
Itafanyikia ofisini kwetu Posta Dar es Salaam Jengo la PSSSF samora house, Floor ya kwanza Wing A
Ada ni nafuu na inaweza kulipwa kwa awamu

Karibu wewe au mlete kijana wako apate ujuzi atakaoweza kujiajiri na kuajiriwa katika sekta mpya ye magari ya gesi na vituo vya gesi.

Wahi sasa, wasiliana nasi kujisajili.
0792900637

Experts in CNG Cylinder Inspection, HSE risk assessment, Accident investigation, Short Trainings etc

20/02/2026

Happy Lent!

Ramadan Kareem!
20/02/2026

Ramadan Kareem!

Next πŸš€ Karibu kujifunza Taaluma ya kufunga na kukagua mfumo wa gesi kwenye magari. Usibaki Nyuma. Magari ya gesi ndo mch...
16/01/2026

Next πŸš€ Karibu kujifunza Taaluma ya kufunga na kukagua mfumo wa gesi kwenye magari. Usibaki Nyuma. Magari ya gesi ndo mchongo.

Ada kwa mshiriki binafsi: 450,000 TZS
Tarehe 02/02/2025 - 28/02/2025
Mafunzo ya darasani - Ofisini Posta Dar es Salaam
Mafunzo ya Vitendo - Garage yetu Makumbusho

Tupigie kujisajili 0792 900 637 au 0775 799 903

Address

Kinondoni
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255745799903

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Avanc Energy Services and Consultancy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Avanc Energy Services and Consultancy:

Shortcuts

Share

Category