13/10/2026
Heri ya Siku ya Mwalimu Nyerere!πΉπΏ
Leo tunamuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kwa mchango wake mkubwa katika kuleta uhuru, umoja, amani na mshikamano wa Watanzania.
Umoja wetu ni nguvu yetu, na urithi wake unaendelea kuwa mwongozo kwa vizazi vijavyo.