28/06/2026
Kila iitwapo leo tunasoma tu hakuna kuhitimu, hiyo video ni maziwa mawili yaliyo ungana, Ziwa njano (lake Yellow) na ziwa Tanganyika (lake Tanganyika) hapa ndo somo lipo, nilijua ni bahari tu zinaungana kumbe hata maziwa? Hakika Mungu Fundi