Ramani Ujenzi

Call Directions Website Contact the business

Ramani Ujenzi Page yetu inahusu maswala ya nyumba na ujenzi kama ifuatavyo
-Ramani za aina zote
-Ujenzi
-Structural Design

Paster ya ge
17/10/2026

Paster ya ge

16/10/2026
16/10/2026
16/10/2026

Kwenye Ujenzi wako Auhitaji tu mtaalamu bali Unahitaji mtaalamu ambae
•Anajua Ujenzi kweli kweli
•Anafanya kazi yako k**a yake
•Ana uchungu matumiz mabaya ya materials
•Anaumia kazi ikiwa mbaya au ikifanyika kihuni huni
•Kipaumbele chake sio pesa bali ni Uaminifu na kazi bora,hiyo ndo amani yake katika kazi tofauti na hapo hawezi furahia kazi
Basi wataalamu hao ni Sisi,Hatujipakulii minyama tupe chance kidogo tu ujionee mwenyewe,📞+255655534125

16/10/2026

Tunashauri, Tunadesign Ramani,Tunajenga na kufanya design aina zote

15/10/2026

Plaster bora inaanzia kwenye Material na Maandalizi pia
Tunazingatia ubora kuanzia mwanzo mpaka stage ya mwisho ya curing
••CONTACTS
Call/WhatsApp +255 655 534 125

Address

Urafiki
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ramani Ujenzi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ramani Ujenzi:

Shortcuts

Share