CFK Academy

Call Directions Contact the business

CFK Academy Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from CFK Academy, Tabata, Dar es Salaam.

29/08/2026

Before people understand your VISION

First, You Must see the Impact before the Results
-See the Solutions before the Recognition
-See the Team before you can afford one
-Attract the Global reach before world knows your Name

See it, Believe then Build it.
Keep On Mission?
https://whatsapp.com/channel/0029VbAWEu659PwZJqeqCK1G

29/08/2026

Maturity is when you understand that God’s silence is not His absence ✍️

18/08/2026

Kuangalia nyuma si lazima kumaanishe kurudi nyuma; wakati mwingine ni kutafuta maarifa ya kukusaidia kusonga mbele kwa hekima. Historia yako imebeba alama za maamuzi yako, ushindi wako, makosa yako, majeraha yako na masomo ambayo maisha yamekufundisha. Ukiitazama kwa umakini, utaweza kutambua ulipotoka, kuelewa ulipo na kuona kwa usahihi zaidi unakopaswa kwenda.

Lakini usiishi nyuma kiasi cha kupoteza leo, wala usitazame mbele kiasi cha kusahau kuwa maisha yanatokea sasa. Jana ni mwalimu, kesho ni matarajio, lakini leo ndiyo uwanja wa maamuzi na matendo. Unachofanya leo ndicho kinachotafsiri masomo ya jana kuwa matokeo ya kesho.

Raphael Lyela

16/08/2026

Mungu hakuiti kwa sababu tayari umekamilika; anakuita kwa sababu anaona kile unachoweza kuwa mikononi mwake. Anaijua historia yako, udhaifu wako, mapungufu yako na maeneo ambayo bado yanahitaji kujengwa, lakini hakuna jambo lililofichika kwake. Wito wake hauonyeshi kuwa huna udhaifu, bali kwamba kusudi lake ni kubwa kuliko hali yako ya sasa.

Credit to Raphael Lyela

12/08/2026

Financial freedom is not necessarily having millions in the bank. It begins when income from assets increasingly pays expenses that previously depended entirely on your labour.

12/08/2026

"Haijalishi kinachoendelea maishani mwako, usipoteze tumaini.

Endelea kuwa na mtazamo chanya katika nyakati mbaya, endelea kuwa mnyenyekevu katika nyakati nzuri, na tumaini lako weka kwa MUNGU kila wakati.✨️🤍

12/08/2026

Tunajifunza kutokana na experiences za watu waliotutangulia.

1. Waliofeli.
2. Waliofanikiwa.
3. Ambao hawakujaribu kabisa.

Mara nyingi matamanio ya kufanikiwa yanafanya tunasahau group 1 & 3, tunazingatia group 2 pekee yake.

08/08/2026

🏗️ Namna ya kuweka mfumo mzuri kwenye biashara ya ujenzi 👇🔴

1. Mfumo wa Stock 📦
Jua kila bidhaa iliyoingia, iliyotoka na iliyobaki. Kwa mfano: cement, nondo, mabati, tiles, rangi, plumbing na electrical materials.
👉 Tumia stock card au mfumo wa computer/POS ili kupunguza upotevu na wizi.

2. Mfumo wa Mauzo 💰
Kila mauzo yaandikwe: bidhaa, quantity, bei, jina la mteja na kiasi alicholipa.
👉 Usiruhusu bidhaa kutoka bila receipt au record.

3. Mfumo wa Manunuzi 🛒
Kabla ya kununua bidhaa, kuwe na utaratibu wa kuangalia stock iliyopo, bei ya supplier na mahitaji ya biashara.
👉 Hii inasaidia kuzuia kununua bidhaa nyingi zisizouza.

4. Mfumo wa Fedha 💵
Tenganisha kabisa hela ya biashara na hela binafsi.
Weka kumbukumbu za mapato, matumizi, madeni, faida na hasara kila siku.

5. Mfumo wa Madeni 🤝
K**a unauza kwa mkopo, kila mteja awe na record yake: kiasi alichochukua, tarehe, alicholipa na balance iliyobaki.
👉 Usitoe bidhaa kwa mkopo bila masharti yaliyo wazi.

6. Mfumo wa Wafanyakazi 👷
Kila mfanyakazi ajue kazi yake na majukumu yake. Weka utaratibu wa attendance, mishahara, targets na uwajibikaji.

7. Mfumo wa Suppliers 🚚
Tengeneza list ya suppliers unaowaamini, bei zao, payment terms na uwezo wao wa kusupply kwa wakati.
👉 Usimtegemee supplier mmoja pekee.

8. Mfumo wa Huduma kwa Wateja 🧑‍💼
Mteja apewe huduma nzuri kuanzia anapoingia dukani mpaka baada ya manunuzi.
👉 Mteja anayehudumiwa vizuri ana nafasi kubwa ya kurudi na kukuletea wateja wengine.

9. Mfumo wa Ripoti 📊
Kila siku au kila wiki ujue:

* Mauzo yamefika kiasi gani?
* Faida ni kiasi gani?
* Stock ina thamani gani?
* Madeni ni kiasi gani?
* Matumizi ni kiasi gani?
* Ni bidhaa zipi zinauza zaidi?

10. Mfumo wa Usalama 🔐
Weka CCTV, approvals za kutoa bidhaa, udhibiti wa cash na reconciliation ya stock.
👉 Mfumo mzuri unazuia biashara kupoteza pesa bila mwenye biashara kujua.

🔑 Siri kubwa

Usijenge biashara ambayo haiwezi kufanya kazi bila wewe. Jenga mfumo ambao unaweza kufanya kazi hata k**a aupo dukani

05/08/2026

Kiburi na ujinga ndo vitakufanya ushindane kisirisiri na watu ambao ulipaswa kujifunza kutoka kwao..✍️🏾

Address

Tabata
Dar Es Salaam

Telephone

+255714010163

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CFK Academy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to CFK Academy:

Shortcuts

Share