Kimago solar

Directions Website Contact the business

Kimago solar Tunaipatia mwanga nyumba yako ili iwe salama

Tunanogesha na kupendezesha garden kwa taa za solar

tunausika na uzaji wa TAA SOLAR za garden ( bustani) pamoja na Street light TAA SOLAR za kufunga ukutani

pamoja na security camera

mikoani tunatuma

kwa wakazi wa dar es salaam tunafanya delivery

karibuni sana

14/10/2026

🔶Solar Garden Light 60cm
🔶 Inachaji kwa jua, inaangaza usiku.
🔶 Inafaa kwa bustani, njia na nyumba za kisasa.
🔶 Bei: TSh 250,000
📞 : 0710636131

🔸Height: 60cm
🔸Solar Panel: 5W
🔸Battery: 6000mAh LiFePO4
🔸 Charging: 4–6 Hours
🔸Lighting: Whole Night
🔸Backup: 2–3 Rainy Days
🔸 Material: Aluminium + PC
🔸 Light: Warm White / Cool White
🔸 warranty: 1 Year

Delivery tunafanya Tanzania nzima

Karibu sana.





06/10/2026

Ongeza thamani na muonekano wa kifahari kwenye garden yako kwa kutumia

VIP Solar Garden Light (60cm).

Taa hii ya kusimama chini ni chaguo namba moja kwa ajili ya kupendezesha njia za kutembea (walkways),

mazingira ya garden, na maeneo ya wazi ya nyumba za kifahari na hoteli.

Bei: TSH 250,000/=
Warranty Mwaka; 1
Mawasiliano: 0710636131
Delivery: Tanzania nzima

Urefu: 60 cm

Upana wa Kichwa: 20 cm

Material: Aluminium + PC (Haipati Kutu)

Solar Panel: 5V / 5W Monocrystalline

Betri: 3.2V / 6000mAh lifePO4

Aina ya Mwanga: Dual-Color (3000K

Warm / 6000K Cool White)

Ulinzi wa Maji: IP65 Waterproof




Kiboko ya giza imefika! 🔥💡 Usiteseke na giza tena kwenye eneo lako Tunakuleta taa ya solar popote ulipo. Bei Ya Taa : 23...
28/09/2026

Kiboko ya giza imefika! 🔥💡 Usiteseke na giza tena kwenye eneo lako

Tunakuleta taa ya solar popote ulipo.

Bei Ya Taa : 235,000
Watts : 1000w
Warranty Mwaka 1
Mawasiliano: 0710636131
Masaa Kucharge: 6-8
Masaa Kuwaka: 12
Waterproof: ndio
Delivery: ndio




Umechoka na taa za solar zisizotoa mwanga wa kutosha? 💡1000W Solar Flood Light delivery ya mteja Bei Ya Taa : 235,000 Wa...
28/09/2026

Umechoka na taa za solar zisizotoa mwanga wa kutosha? 💡

1000W Solar Flood Light delivery ya mteja

Bei Ya Taa : 235,000
Watts : 1000w
Warranty Mwaka 1
Mawasiliano: 0710636131
Masaa Kucharge: 6-8
Masaa Kuwaka: 12
Waterproof: ndio
Delivery: ndio





🇹🇿

26/09/2026

Delivery🔥 Delivery 🔥 Taa Ya Solar Ya Nje 1000W

Bei Ya Taa : 235,000
Watts : 1000w
Warranty Mwaka 1
Mawasiliano: 0710636131
Masaa Kucharge: 6-8
Masaa Kuwaka: 12
Waterproof: ndio
Delivery: ndio





Acha kulipia bili ya umeme nje ya nyumba yako.Boresha muonekano wa garden, walkway, au uwanja wako kwa Taa za Solar za K...
23/08/2026

Acha kulipia bili ya umeme nje ya
nyumba yako.

Boresha muonekano wa garden, walkway, au uwanja wako kwa Taa za Solar za Kisasa.

Zinajichaji na jua, zinawaka zenyewe usiku, na hazisumbuki na mvua.

Hakuna nyaya wala haja ya fundi umeme.





Piga hatua kwa kujiamini, kila mwangaza ni ushindi!Hatua moja ya haraka inaweza kubadilisha kabisa muonekano wa mazingir...
23/08/2026

Piga hatua kwa kujiamini, kila mwangaza
ni ushindi!

Hatua moja ya haraka inaweza kubadilisha
kabisa muonekano wa mazingira yako.

Taa hizi za kisasa zimetengenezwa kutoa
mwanga wenye nguvu unaolinda na

kupendezesha kila njia ya mjengo wako.

Badilisha muonekano wa nje leo bila kupoteza muda.




Nje kuchafu na giza? Unafukuza wateja kabla hawajaingia ndani!Mazingira ya nje ndio kivutio cha kwanza. Taa izi za solar...
23/08/2026

Nje kuchafu na giza? Unafukuza

wateja kabla hawajaingia ndani!

Mazingira ya nje ndio kivutio cha kwanza.

Taa izi za solar zinaleta mwangaza,

usalama na mwonekano wa kifahari

kwenye eneo lako usiku.




08/08/2026

Taa ya nje inayofanya eneo lako lisibaki la kawaida.

SOLAR GARDEN LIGHT 60CM

👍Elegant outdoor lighting
👍 Inachaji kwa jua
👍 Warm / White Light
👍 Ideal kwa Hotels, Guest Houses & Apartments

🔶Warranty/ 1yr

🔸TZS 249,999

🔸0710 636 131

🚚 Delivery kwa gharama ya mteja.





Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kimago solar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kimago solar:

Shortcuts

Share