14/08/2026
DAHUA SMART DUAL LIGHT CAMERA
pata usalama wa uhakika mchana na usiku kwa teknolojia ya kisasa ya ulinzi.
✨ Sifa kuu: •
Ubora wa picha wa 2MP Full HD
• Smart Dual Light — hubadilika kiotomatiki kati ya IR na mwanga wa kawaida •
Utambuzi wa mtu na gari •
Mwanga wa usiku hadi mita 30
• Lens ya 3.6mm
• IP67 — kinga dhidi ya vumbi na maji
• Microphone iliyojengewa ndani •
Ina support HDCVI / CVBS / AHD / TVI
• Inapatikana kwa Bullet na Eyeball Camera
💡 Teknolojia mahiri kwa ulinzi bora na mwonekano wa rangi hata wakati wa usiku.
📞 Wasiliana nasi leo kwa bei, upatikanaji na huduma ya ufungaji.