17/08/2026
โจ PROJECT COMPLETED! ๐ฟ๐ฅ
Kutoka kwenye maandalizi hadi finishing ya mwisho โ bathroom imekamilika kwa kiwango cha juu. ๐ฏ
Kila tile limewekwa kwa usahihi, kila kona imepewa umakini, na matokeo yake ni bathroom ya kisasa, safi na yenye mvuto. ๐๐ก
Hatutengenezi bathroom tuโฆ tunatengeneza nafasi inayoongeza thamani ya nyumba yako. ๐ฅ
๐ 0687 321 472
Fundi Tiles Martin โ Quality Work, Lasting Beauty.
ConstructionTZ