Maramani 5G

Maramani 5G Ramani za nyumba & Ujenzi Nafuu wa Kisasa
-Architecture Design
-Construction (Ujenzi)
-Construction

Maramani 5G tunahusika na KUCHORA RAMANI ZA NYUMBA! + UJENZI! nafuu wa Kisasa. Piga au WhatsApp +255744375247Tunachokifa...
24/10/2025

Maramani 5G tunahusika na KUCHORA RAMANI ZA NYUMBA! + UJENZI! nafuu wa Kisasa.
Piga au WhatsApp +255744375247

Tunachokifanya ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
โ˜‘๏ธ Tunachora RAMANI kali za nyumba & majengo ya kisasa.
โ˜‘๏ธTunajenga KUANZIA msingi mpaka kukamilika jengo husika.
โ˜‘๏ธ Makadirio ya vifaa vitakavyotumika kwenye UJENZI.
โ˜‘๏ธTunakushauri maswala mbali mbali kuhusu UJENZI!
______________________________
Kwanini Uchague Maramani 5G ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
_____________________________
โ˜‘๏ธ RAMANI NI KALI NA ZA KISASA
โ˜‘๏ธ Wataalamu na mafundi wenye weledi wa Kazi, wazoefu na waaminifu. โ˜‘๏ธTunajali muda wako.
_____________________________
WEKA BANDO
________________________________
TUFUATILE NA WEWE PIA UJENGE NYUMBA YA NDOTO ZAKO โ™ฅ๏ธ๐Ÿ‘Œ๐Ÿฟ
_______________________________
Kwa maoni, maswali, maelezo na Mawasiliano Zaidi piga au tuandikie WhatsApp Utufahamishe jinsi Gani tunaweza kukusaidia +255744375247
________________________________
Vigezo Kuzingatiwa
____________________________

Unique & Simple
11/06/2025

Unique & Simple

Grey + White
30/04/2025

Grey + White

RAMANI YA NYUMBA YA MAKAZI๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ VYUMBA 3๏ธโƒฃ   Kali! ๐Ÿ”ฅPiga / WhatsApp +255744375247
21/04/2025

RAMANI YA NYUMBA YA MAKAZI
๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ VYUMBA 3๏ธโƒฃ Kali! ๐Ÿ”ฅ
Piga / WhatsApp +255744375247

Nature meets comfort, one-bedroom design.
08/02/2025

Nature meets comfort, one-bedroom design.

We Design Cities....Contact +255744375247
08/10/2024

We Design Cities....

Contact
+255744375247

RAMANI YA NYUMBA YA MAKAZI๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ VYUMBA 3๏ธโƒฃ   Kali! ๐Ÿ”ฅPiga / WhatsApp +255744375247TAARIFA ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟโœ… Chumba Kikubwa cha masta 1 (wh...
09/09/2024

RAMANI YA NYUMBA YA MAKAZI
๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ VYUMBA 3๏ธโƒฃ Kali! ๐Ÿ”ฅ
Piga / WhatsApp +255744375247

TAARIFA ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ

โœ… Chumba Kikubwa cha masta 1 (whirlpool bath )
โœ… Vyumba vya Kawaida 2
โœ… Jiko la wazi (Open Kitchen)
โœ… Stoo
โœ… Sehemu ya kulia chakula (Dinning)
โœ… Choo na bafu ya watu wote (Public ndani)
โœ… Sebule Kubwa
โœ… Choo cha Nnje kilichoshikana na nyumba
__________________________________________
MAHITAJI ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
__________________________________________
โ˜‘๏ธ Eneo linalohitajika ni mita au hatua 20ร—20
na kuendelea
__________________________________________
Kwa Mawasiliano & Maelezo Zaidi
Piga au tuandikie WhatsApp +255744375247
__________________________________________
Vigezo Kuzingatiwa
__________________________________________

WE DEAL WITH ๐Ÿ‘‡๐Ÿผโœ… Architecture designโœ… Construction (UJENZI)โœ… Construction Constlatancy (Ushauri)CONTACT ๐Ÿ‘‡๐Ÿผโœ…+255744375247
25/08/2024

WE DEAL WITH ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ
โœ… Architecture design
โœ… Construction (UJENZI)
โœ… Construction Constlatancy (Ushauri)

CONTACT ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ
โœ…+255744375247

RAMANI YA NYUMBA YA MAKAZI ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ VYUMBA 4๏ธโƒฃ Ya  ! Piga au WhatsApp +255744375247TAARIFA ๐Ÿ‘‡๐Ÿผโœ…Chumba kikubwa cha Masta 1 (Walk...
10/03/2024

RAMANI YA NYUMBA YA MAKAZI
๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ VYUMBA 4๏ธโƒฃ Ya !
Piga au WhatsApp +255744375247

TAARIFA ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ
โœ…Chumba kikubwa cha Masta 1 (Walk-in closet + Jaccuzi)
โœ… Vyumba vikubwa vya Selfu 2.
โœ… Chumba cha Kawaida 1
โœ… Sebule Kubwa
โœ… Sehemu ya kulia chakula (Dinning)
โœ… Jiko + baraza ndogo nyuma
โœ… Stoo ya Jiko
โœ… Chumba cha Kusomea (Study Room) (Chumba hichi kinaweza kubadilishwa matumizi kuendana na Mahitaji yako)
โœ… Choo cha watu wote (Public Toilet)
โœ… Baraza Mbele.

Mahitaji & Makadirio ๐Ÿ‘‡๐Ÿผ

โœ…Eneo linalohitajika ni mita au hatua 20ร—20 na kuendelea
โœ… Cement mifuko - 323
โœ… Tofali za block msingi - 1974
โœ… Tofali za Kupandisha kuta / boma 5260
โœ… Bati pisi 126.438 (900mmร—300mm)
โœ… Nondo - 12mm pisi 104, 8mm pisi 110, 10mm pisi 74
โœ… Misumari: kilo 35
โœ… Bolti - mifuko 4
โœ… Marine Bord : Pisi 30

KUMBUKA: Hayo ๐Ÿ‘†๐Ÿฝni baadhi TU ya Makadirio ya kufikisha Jengo kwenye hatua ya Kupaua, Rafu Chini bila finishing.

GHARAMA: Gharama za vifaa vya Ujenzi na upatikanaji zinatofautiana kwa Kila Eneo/mkoa. Na Sasa Hivi Vitu Vingi vimepanda Bei Fuatilia Bei Eneo lako.
_________________________________
โœ…Gharama za vifaa vya Ujenzi na Ufundi kwa Makadirio ni Tsh. 38,324,322/=. Kufikisha Jengo kwenye hatua za kupaua, Rafu Chini Bila Finishing. ENEO LA PWANI
________________________________
โœ… UFUNDI TU! kwa Makadirio ni 7,000,000/=. Na mteja atahusika kununua material zote za Ujenzi. Kufikisha Jengo kwenye hatua za kupaua, rafu chini bila finishing. ENEO LA PWANI
________________________________
โœ… MATERIAL TU! za kufikisha Jengo kwenye hatua za kupaua, Rafu chini bila finishing kwa Makadirio ni Tsh 31,324,322/= . Eneo la PWANI
_________________________________
USISAHAU: Bei inaweza kuongezeka au kupungua kutokana na upatikanaji wa vifaa vya Ujenzi, usafirishaji kwenye eneo lako.
________________________________
Kwa Mawasiliano, Maelezo, maswali zaidi piga au tuandikie WhatsApp +255744375247
__________________________________
VIGEZO KUZINGATIWA

Home is a shelter from storms
17/02/2024

Home is a shelter from storms

Address

Dar-es-Salaam
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maramani 5G posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Maramani 5G:

Shortcuts

Share