Kinglion Mabati

Call Directions Website

Kinglion Mabati The KINGLION roofing sheet is made from pre-painted Aluminum Zinc iron sheets and combines increased longevity with low maintenance costs.

KINGLION roofing sheets are suitable for both residential and commercial purposes.

Karibu Kinglion, tunakupa uhakika wa mabati yatakayokupa usingizi mnono, yatakayodumu kwa miaka mingi Zaidi.✳️ Mabati ya...
29/09/2026

Karibu Kinglion, tunakupa uhakika wa mabati yatakayokupa usingizi mnono, yatakayodumu kwa miaka mingi Zaidi.

✳️ Mabati ya Mgongo Mpana (IT 5) nimezingatia viwango vyote vya ubora kwa ajili ya nyumba yako. Unayapata kuanzia geji 26, 28 na 30. Tupigie simu bures asa tukuhudumie.
Namba: 0 800 750 202.
WhatsApp: 0 756 174 328.

Siku ya pili ya maonesho ya Wahandisi yanayoendelea Mlimani City, Dar es Salaam ambapo Kinglion inashiriki kwa kuonesha ...
25/09/2026

Siku ya pili ya maonesho ya Wahandisi yanayoendelea Mlimani City, Dar es Salaam ambapo Kinglion inashiriki kwa kuonesha bidhaa zake za mabati na pikipiki.

Tupigie simu bure sasa tukuhudumie kwa ubora mkubwa ukiwa popote.
Namba: 0 800 750 202
WhatsApp: 0756174328

Baadhi ya matukio yaliyotokea kwenye Maonesho ya Bodi ya Wahandisi Tanzania, katika ukumbi wa Mlimani City ambapo Kingli...
24/09/2026

Baadhi ya matukio yaliyotokea kwenye Maonesho ya Bodi ya Wahandisi Tanzania, katika ukumbi wa Mlimani City ambapo Kinglion ni moja ya washiriki wake. Tumeonesha bidhaa zetu bora za Pikipiki na Mabati kwa ajili ya washiriki.

Kwa bidhaa bora na za uhakika za mabati, pikipiki na ujenzi, Kinglion ndiyo suluhisho. Tupigie simu bure sasa tukuhudumie popote.
Namba: 0 800 750 202.
WhatsApp: 0 756 174 328.

Mabati ya IT 5 ya Kinglion yenye geji 28, ndiyo mabati sahihi kwa kuezekea Godown yako, sifa zake kuu ni pamoja na:✳️ Ni...
24/09/2026

Mabati ya IT 5 ya Kinglion yenye geji 28, ndiyo mabati sahihi kwa kuezekea Godown yako, sifa zake kuu ni pamoja na:
✳️ Ni magumu na imara juu ya paa, ukiezeka mara moja umemaliza.
✳️ Hayapauki rangi yake hata kwenye jua kali
✳️ Ubora wake umethibitishwa na mamlaka husika

Tupigie simu bure leo tukuhudumie kwa ubora; Namba: 0 800 750 202, WhatsApp: 0 756 174 328.

Ili ufanye kazi kwa ufanisi zaidi unahitaji kuwa na Ventileta bora na imara kwenye jengo lako.Ubora wa Ventilator za Kin...
22/09/2026

Ili ufanye kazi kwa ufanisi zaidi unahitaji kuwa na Ventileta bora na imara kwenye jengo lako.

Ubora wa Ventilator za Kinglion unatokana na:
✳️* Uwezo wake wa kufanya kazi kwa ubora miaka mingi
✳️* Ubora uliothibitishwa na mamlaka husika
✳️* Gharama nafuu inayoendana na uchumi

Tuko tayari kukuhudumia kwa uaminifu na ubora mkubwa popote ulipo. Tupigie simu bure.
Namba: 0 800 750 202.
WhatsApp: 0 756 174 328.

Mabati ya kisasa IT4 yanakupa ubora mkubwa unapoezeka nyumba yako. Unaishi nao miaka mingi Zaidi.Ubora wa mabati yetu up...
17/09/2026

Mabati ya kisasa IT4 yanakupa ubora mkubwa unapoezeka nyumba yako. Unaishi nao miaka mingi Zaidi.

Ubora wa mabati yetu upo kwenye sifa hizi:
✳️* Yana uwezo mkubwa wa kutunza rangi yake muda wote
✳️* Yanapatikana kwa urahisi nchi nzima kupitia matawi yetu ya Dodoma, Mbeya, Arusha, Mwanza, Dar na Zanzibar.
✳️* Ubora wake umethibitishwa na mamlaka husika.

Karibu Kinglion tukuhudumie kutoka popote ulipo. Tupigie simu bure sasa.
Namba yetu: 0 800 750 202.
WhatsApp: 0 756 174 328.

Pendezesha nyumba yako na mabati yetu aina ya kigae (Torino) ili uishi kifahari k**a mafahari wengi mjini.✳️* Ukiezeka m...
15/09/2026

Pendezesha nyumba yako na mabati yetu aina ya kigae (Torino) ili uishi kifahari k**a mafahari wengi mjini.

✳️* Ukiezeka mara moja tu, yatadumu na rangi pamoja na ubora wake miaka mingi zaidi. Tupigie simu bure sasa tukuhudumie kwa ubora mkubwa.
Namba: 0 800 750 202.
WhatsApp: 0 756 174 328.

Muda wote tuko tayari kukupa mzigo wa mabati ya mgongo mdogo wenye rangi uipendayo.Mabati haya yanapendwa na kuaminika t...
11/09/2026

Muda wote tuko tayari kukupa mzigo wa mabati ya mgongo mdogo wenye rangi uipendayo.

Mabati haya yanapendwa na kuaminika tangu enzi na enzi kutokana na ubora wake. Tupigie bure sasa.
Namba: 0 800 750 202.
WhatsApp: 0 756 174 328.

Kabla hujaezeka nyumba yako zingatia vitu hivi muhimu sana ili kuwa na nyumba bora.✳️* - Mabati unayotumia pamoja na mba...
09/09/2026

Kabla hujaezeka nyumba yako zingatia vitu hivi muhimu sana ili kuwa na nyumba bora.
✳️* - Mabati unayotumia pamoja na mbao (pau). Kwenye bati chagua Kinglion pekee.
✳️* - Fundi mzuri na vipimo sahihi vya mteremko 'Sloping' (Angle).
✳️* - Umakini unahitajika kwenye pleti za ukuta 'Wall Plate' na 'Tie-Beams.

🏠 Karibu Kinglion, tutakuuzia mabati pamoja na kukushauri kuhusu paa la nyumba yako. Tupigie simu bure.
Namba: 0 800 750 202.
WhatsApp: 0 756 174 328

Mabati yetu aina ya kigae (Torino) ni kielelezo halisi cha ubora wa nyumba yako. Kutokana na ubora wake na muonekano.✳️*...
07/09/2026

Mabati yetu aina ya kigae (Torino) ni kielelezo halisi cha ubora wa nyumba yako. Kutokana na ubora wake na muonekano.

✳️* Ukiezeka mara moja tu, hautakuwa na sababu ya kubadilisha tena. Tupigie simu bure sasa tukuhudumie kwa ubora mkubwa.
Namba: 0 800 750 202.
WhatsApp: 0 756 174 328.

Address

Plot No. 20, Block 45C, Wakatibado Street, P. O. Box: Kjitonyama, Kinondoni, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
33596

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 14:00

Telephone

+255800750202

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kinglion Mabati posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share