swaminathtz

Directions Contact the business

swaminathtz -Supply & Trading of Solar Equipmets & Agro Processing Machinery ,Water pump solutions
-Wasambazaji na Wauzaji wa Machine za Ujasiriamali

LUMINOUS HYBRID INVERTER IMEINGIA! 🔥> 4kVA (24V) - 900,000 TZS> 6kW (48V) - 1,550,000 TZS> 11kW (48V) - 2,650,000 TZS> H...
07/10/2026

LUMINOUS HYBRID INVERTER IMEINGIA! 🔥
> 4kVA (24V) - 900,000 TZS
> 6kW (48V) - 1,550,000 TZS
> 11kW (48V) - 2,650,000 TZS
> Hybrid - Inatumia Solar na Umeme.
> Pure Sinewave 100%.

📍 Tunapatikana Kariakoo Dar es salaam barabara ya msimbazi tunaangaliana na kituo kipya cha Mwendokasi cha Mbagala karibu na daraja ya reli ya umeme…

📞 0767 554 908

06/10/2026

WAFUGAJI WOTE HII NI YENU

MASHINE YA KUKATA & KUSAGA MAJANI .

Unapoteza 50% ya mabua ya mahindi kwa sababu ng'ombe anashindwa kula mabua magumu? Maziwa kidogo?

Hii mashine inasuluhisha!

✅ Inakata na INASAGA mpaka kuwa laini k**a pamba- Ng'ombe anakula 100%, hakuna kupoteza
✅ Nguvu: Motor 3.0kW (HP 4) - Umeme wa kawaida 220V
✅ Kasi: TANI 2 KWA SAA (2000kg/hr) - Unamaliza kazi haraka
✅ Inakata: Mabua ya mahindi, pia Majani makavu, Nyasi zote
✅ Maziwa yanaongezeka 20-30% kwa sababu chakula kinasagika kirahisi
Wafugaji Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Iringa na kote nchini wanainunua sana!

📍 Tunapatikana Kariakoo Dar es salaam barabara ya msimbazi tunaangaliana na kituo kipya cha Mwendokasi

📞 0767 554 908

STEP PowerMax Pure Sinewave Inverters.Made in India Warranty 1 Years-800VA / 12v PowerMax Series - 190,000 TZS- 1100VA /...
05/10/2026

STEP PowerMax Pure Sinewave Inverters.
Made in India Warranty 1 Years

-800VA / 12v PowerMax Series - 190,000 TZS
- 1100VA / 1.1KW / 12v PowerMax Series - 210,000 TZS

24V
- 1500VA / 1.5KW / 24v PowerMax Series - 315,000 TZS
- 2000VA / 2KW / 24v PowerMax Series - 320,000 TZS
- 2500VA / 2.5KW / 24v PowerMax Pro Series - 515,000
- 3200VA / 3.2KW / 24v* PowerMax Pro Series - 800,000

48V System
- 4000VA / 4KW / 48v PowerMax Pro Series - 950,000
- 5000VA / 5KW / 48v PowerMax Pro Series - 1,550,000

2000VA / 24V PowerGuard Pure Sinewave Inverter (Digital Display) - 460,000 TZS

3000VA / 24V PowerGuard Pure Sinewave Inverter (Digital Display) - 825,000 TZS

7000VA / 72V PowerGuard Pure SineWave Inverter (Digital Display) - 2,950,000 TZS

Tunapatikana Kariakoo Dar es salaam barabara ya msimbazi tunaangaliana na kituo kipya cha Mwendokasi cha Mbagala karibu na daraja ya reli ya umeme…

0767 554 908

Pendezesha Ukuta wako kwa Mwangaza wa taa ndogo ya ukutani kwa sh 25,000/= tuTunapatikana Kariakoo Dar es salaam barabar...
03/10/2026

Pendezesha Ukuta wako kwa Mwangaza wa taa ndogo ya ukutani kwa sh 25,000/= tu

Tunapatikana Kariakoo Dar es salaam barabara ya msimbazi tunaangaliana na kituo kipya cha Mwendokasi cha Mbagala karibu na daraja ya reli ya umeme…

0767 554 908

Usikae Gizani , Jipatie Solar Kit ya kuwasha Taa 4, Sikikiza redio na chaji simu yako  kwa sh 125,000/=Tunapatikana Kari...
02/10/2026

Usikae Gizani , Jipatie Solar Kit ya kuwasha Taa 4, Sikikiza redio na chaji simu yako kwa sh

125,000/=

Tunapatikana Kariakoo Dar es salaam barabara ya msimbazi tunaangaliana na kituo kipya cha Mwendokasi cha Mbagala karibu na daraja ya reli ya umeme…

0767 554 908

🔋⚡ RITAR POWER VRLA BATTERIESUbora wa kimataifa kwa nishati ya uhakika! Zinadumu muda mrefu, hazihitaji matengenezo (mai...
01/10/2026

🔋⚡ RITAR POWER VRLA BATTERIES
Ubora wa kimataifa kwa nishati ya uhakika! Zinadumu muda mrefu, hazihitaji matengenezo (maintenance free) na zinafaa kwa solar, UPS, CCTV na mifumo ya dharura.

Zinapatikana kwa uwezo wa : (12v) 5Ah, 7Ah, 9Ah, 12Ah, 18Ah, 26Ah, 33Ah, 40Ah, 55Ah, 65Ah, 70Ah, 80Ah, 100Ah, 120Ah, 150Ah, 200Ah, 260Ah pamoja na FT100, FT150 & FT200.

🟩 Swaminath Trading – Kariakoo, Barabara ya Msimbazi
Tunaangaliana na Kituo kipya cha Mwendokasi cha Mbagala, karibu na Daraja la Reli ya Umeme.

📞 0767 554 908
RITAR – Nguvu ya kuaminika kila siku!

Karibu Sana Swaminath Trading! ☀️🚜Tunawakaribisha wateja wetu wote wapendwa. Je, unatafuta suluhisho la nishati ya jua a...
30/09/2026

Karibu Sana Swaminath Trading! ☀️🚜

Tunawakaribisha wateja wetu wote wapendwa. Je, unatafuta suluhisho la nishati ya jua au mashine bora za kilimo? Hapa ndipo mahali pake sahihi! Tunapatikana Gerezani, Dar es Salaam, tunakuletea bidhaa bora na za kiwango cha juu kukidhi mahitaji yako yote.

Sisi si wauzaji tu—tunakuletea mpaka ulipo na tunakufungia (install)! Pata huduma ya kiwango cha juu kutoka kwetu leo.

📍 Mahali Ilipo Duka: Gerezani, Dar es Salaam

Tunapatikana Kariakoo barabara ya msimbazi tunaangaliana na kituo kipya cha Mwendokasi cha Mbagala karibu na daraja ya reli ya umeme…

📞 Mawasiliano: [Weka Namba ya Simu/WhatsApp]

HudumaBora

Karibu Sana Swaminath Trading! ☀️🚜Tunawakaribisha wateja wetu wote wapendwa. Je, unatafuta suluhisho la nishati ya jua a...
30/09/2026

Karibu Sana Swaminath Trading! ☀️🚜

Tunawakaribisha wateja wetu wote wapendwa. Je, unatafuta suluhisho la nishati ya jua au mashine bora za kilimo? Hapa ndipo mahali pake sahihi! Tunapatikana Gerezani, Dar es Salaam, tunakuletea bidhaa bora na za kiwango cha juu kukidhi mahitaji yako yote.

Sisi si wauzaji tu—tunakuletea mpaka ulipo na tunakufungia (install)! Pata huduma ya kiwango cha juu kutoka kwetu leo.

📍 Tunapatikana Kariakoo Dar es salaam barabara ya msimbazi tunaangaliana na kituo kipya cha Mwendokasi cha Mbagala karibu na daraja ya reli ya umeme…

📞 0767 554 908

Asante sana wateja wetu kwa kutuamini! 🙏 Kila oda yenu ni heshima kubwa kwetu. Tunaahidi kuendelea kuwapa huduma bora na...
29/09/2026

Asante sana wateja wetu kwa kutuamini! 🙏

Kila oda yenu ni heshima kubwa kwetu. Tunaahidi kuendelea kuwapa huduma bora na uaminifu siku zote.

Tunatuma mzigo popote ulipo kwa gharama za mteja, Mikoani tunasafirisha kwa uwaminifu mkubwa.

Mungu awabariki sana! ❤️

Tunapatikana Kariakoo Dar es salaam barabara ya msimbazi tunaangaliana na kituo kipya cha Mwendokasi cha Mbagala karibu na daraja ya reli ya umeme…

0767 554 907

JSOT LAMP - Solar Flood Light (1 Years Warranty)- Ipo na panel yake, remote, inajichaji mchana, inawaka usiku wenyewe- -...
29/09/2026

JSOT LAMP - Solar Flood Light (1 Years Warranty)

- Ipo na panel yake, remote, inajichaji mchana, inawaka usiku wenyewe
- - haingii maji, inafaa nje kabisa
- Mwangaza mkali sana

- 60W - 50,000 TZS
- 100W - 80,000 TZS
- 200W - 110,000 TZS (k**a kwenye picha TG 200W)
- 300W - 130,000 TZS

📍 Tunapatikana Kariakoo Dar es salaam barabara ya msimbazi tunaangaliana na kituo kipya cha Mwendokasi cha Mbagala karibu na daraja ya reli ya umeme…

📞 0767 554 908

Address

Msimbazi Street
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when swaminathtz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to swaminathtz:

Shortcuts

Share