Makini Plumbing Services

Makini Plumbing Services Tunakusaidia kupata huduma nzuri ya mafundi na vifaa Bora kwa ajiri ya mahitaji ya bomba lako.

Boresha Mfumo wa Maji Nyumbani Kwako!Maji ni sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, hakikisha mfumo wako wa maji umefungw...
14/08/2026

Boresha Mfumo wa Maji Nyumbani Kwako!
Maji ni sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, hakikisha mfumo wako wa maji umefungwa kwa usahihi, ubora na usalama.

Makini Plumbing tunakujengea mifumo ya maji inayofanya kazi vizuri na kudumu kwa muda mrefu.
Tunatoa huduma za:

✅ Ufungaji wa mifumo ya maji ya moto na baridi
✅ Plumbing za nyumba mpya
✅ Matengenezo na marekebisho ya mifumo ya maji
✅ Ufungaji wa sinki, mabafu na vifaa vya kisasa
✅ Usanifu na ufungaji wa mfumo bora wa maji nyumbani
🏠 Jenga kwa ubora. Rekebisha kwa uhakika. Chagua Makini Plumbing.
📞0656487848

11/08/2026

PIANO SHOWER 🚿💧

Kila tone la maji ni mguso wa kifahari.

Mfumo wa kisasa wa shower unaokupa uwezo wa kuregulate maji ya moto na baridi kwa kubonyeza kitufe tu.

💎 Modern • Elegant • Comfortable
🏠 Tunauza na tunakufungia kwa gharama nafuu.

Boresha bafu lako. Boresha starehe yako.
📞 Karibu tukuhudumie! 0656487848

Nyumba ya kisasa hupendeza zaidi ikiwa na vitu vya kuvutia na vyenye ubora. Makini Plumbing, tunauza Washing Sink na Toi...
07/08/2026

Nyumba ya kisasa hupendeza zaidi ikiwa na vitu vya kuvutia na vyenye ubora.

Makini Plumbing, tunauza Washing Sink na Toilet Sink kwa bei nafuu, zikiwa na muonekano wa kisasa na ubora zunaoaminika.

Badili muonekano wa kitchen na bathroom yako kwa sink zinazopendeza na kuendana na nyumba ya kisasa.

Wasiliana nasi
0656487848

Tunasafisha Matanki ya maji.Kampuni yetu inafanya usafi wa matanki.🛢Majumbani🛢Ofisini🛢Shuleni.🛢Nyumba za IbadaGharama ze...
11/04/2025

Tunasafisha Matanki ya maji.

Kampuni yetu inafanya usafi wa matanki.
🛢Majumbani
🛢Ofisini
🛢Shuleni.
🛢Nyumba za Ibada

Gharama zetu ni nafuu.

Pia tunafanya installation ya mfumo wa maji kutoka kwenye matanki hadi ndani ya nyumba.

Gharama zetu ni nafuu.
Tunafika Dar es salaam, Morogoro, Pwani, Tanga na Dodoma.

Tupigie 0656487848

STRAIGHT AND T CONNECTOR ZIPOZipo size mbalimbali 1/4, 3/4, 1 inchNi imara hazivunjiki Zinaimiri pressure kubwa ya maji ...
11/04/2025

STRAIGHT AND T CONNECTOR ZIPO

Zipo size mbalimbali 1/4, 3/4, 1 inch

Ni imara hazivunjiki
Zinaimiri pressure kubwa ya maji

Zipo kwa jumla na rejareja
Call/whatsap 0656487848

Tunapatikana Kariakoo Omarilondo
Tupigie au chat nasi kuweka order.

Uwekaji mifumo ya maji ndani ya Nyumba.Kampuni yetu inafanya installation mambo nyumba nzima ✅ Kuweka mfumo wa maji Safi...
11/04/2025

Uwekaji mifumo ya maji ndani ya Nyumba.

Kampuni yetu inafanya installation mambo nyumba nzima
✅ Kuweka mfumo wa maji Safi na taka
✅ Kuweka mfumo wa maji moto na baridi
✅ Kuweka mfumo wa utunzaji maji kwenye matank
✅ Kufanya repair kwa leakage zote.

Gharama zetu ni nafuu sana

Tupigie leo ufanye kazi nasi
📞 0656487848

GS REDUCING BUSHZipo size 1/4, 3/4 na 1 inchNi imara hazishiki kutuzinaimili pressure kubwa ya majiJipatie kwa jumla na ...
06/04/2025

GS REDUCING BUSH
Zipo size 1/4, 3/4 na 1 inch
Ni imara hazishiki kutu
zinaimili pressure kubwa ya maji

Jipatie kwa jumla na rejareja

📞 0656487848
Whatsapp +255656487848

Tunapatila Kariakoo Omarilondo
Tupigie kuweka order na kupata vifaa original

GS NI**LE Zipo size 1/4, 3/4 na 1 inchNi imara hazishiki kutuzinaimili pressure kubwa ya majiJipatie kwa jumla na rejare...
06/04/2025

GS NI**LE
Zipo size 1/4, 3/4 na 1 inch
Ni imara hazishiki kutu
zinaimili pressure kubwa ya maji

Jipatie kwa jumla na rejareja

📞 0656487848
Whatsapp +255656487848

Tunapatila Kariakoo Omarilondo
Tupigie kuweka order na kupata vifaa original

G S ELBOW Zipo size 1/4, 3/4 na 1 inchNi imara hazishiki kutuzinaimili pressure kubwa ya majiJipatie kwa jumla na rejare...
06/04/2025

G S ELBOW
Zipo size 1/4, 3/4 na 1 inch
Ni imara hazishiki kutu
zinaimili pressure kubwa ya maji

Jipatie kwa jumla na rejareja

📞 0656487848
Whatsapp +255656487848

Tunapatila Kariakoo Omarilondo
Tupigie kuweka order na kupata vifaa original

BIBCOCK ZA KUFURI ZIPO
01/04/2025

BIBCOCK ZA KUFURI ZIPO

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Makini Plumbing Services posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share