27/09/2026
π οΈ JE, NYUMBA YAKO INASUMBULIWA NA FUNGUS?
Usipake rangi juu ya fungus na kuamini tatizo limeisha. Fungus inahitaji matengenezo ya kitaalamu kuanzia chanzo hadi finishing. π
Katika kazi hii tunafanya kwa umakini: β
Kuondoa sehemu zilizoathirika
β
Kutengeneza na kusawazisha sehemu
β
Treatment ya fungus
β
Skimming & sanding
β
Finishing safi na ya kudumu
Usifanye marekebisho ya mudaβfanya kazi ya kitaalamu. π β¨
π ALLYDECORATION
0744 856 204
Una tatizo la fungus nyumbani, ofisini au dukani? Tutafute kwa ushauri na quotation. π²