18/07/2026
Tulikua live Dodoma Mpamaa , tukijenga Mashimo Ya Vyoo Vya Kisasa
Karibu sana , Jinsi mfumo unavyofanya kazi
hutumia mfumo wa tofali maalumu zenye muundo wa mshazari / sambamba tenge ( trapezium) Kwa lengo la kuwezesha kukaa katika duara na kukaza bila ya hata kutumia cement, hivo basi hujishkiza Kwa uimara kabisa. Lengo ni kwamba, pale Maji taka yatakapo ingia yaweze kunyonywa na ardhi Kwa sababu baina ya tofali Moja na lingine hakuna kizuizi chochote na pia chini hakuna zege lililotangulia ivo kutokana na asili ya ardhi hua inafyonza Maji basi Maji yataweza kutoweka .
Faida za mfumo ni pamoja na
🔸Huokoa eneobMfumo huu huchukua eneo dogo kabisa la kiwanja chako.
🔸Kuchukua muda mrefu Hautonyonya maji taka mara kwa mara.
🔸Gharama Nafuu Ukilinganisha na mfumo wa zamani, mfumo huu unagharimu kwa bei ndogo tu.
🔸Hujengwa Kwa Siku chache ,Kwa siku nne/ tano ujenzi utakuwa umeshakamilika na tayari kwa matumizi.
🔸Uimara Shimo ni imara hata kwa shughuli za parking, ama unaweza kuweka usawa wa ardhi na ukaweka pave au ukataka shimo litoke juu na kufanya k**a kibalaza.
Karibu tumewaandalia website yenye Maelezo ya kina kuhusu huduma zetu (vipimo, Gharama na utaratibu wa kazi) tazama kupitia link hii
https://domlatrine.netlify.app
Kwa Instagram project Tazama kupitia link hii
https://www.instagram.com/dodoma_mashimo_ya_vyoo_kisasa?igsh=Ym1qcTk4bTFkYTUz
Tunapatikana Dodoma pamoja, pamoja na dar branc
Kwa mawasiliano zaidi piga 0764 921 513