06/08/2026
Katiba mpya?
‼️NDULI IDD AMIN MAMA AMEPANGA KUM'NDUGAI EMANUEL NCHIMBI‼️
Mliokaribu na Emanuel Nchimbi mwambieni akae rada maana Nduli Idd Amin Mama na mwanae Abdul wanataka kumuondoa kihuni k**a walivomuondoa Job Ndugai kwenye uSpika wa Bunge.
Nduli Idd Amin Mama anataka kumng’oa Nchimbi kwenye uMakam haram wa Rais kwasababu ya ile kauli ya Nchimbi ya kusema kwamba “Watanzania piganieni KATIBA MPYA maana hata Nduli Idd Amin Mama na yeye anataka KATIBA MPYA.”
Nduli analalamika kwa vibaraka wake kwamba kwanini Nchimbi amsingizie yeye kwamba anataka Katiba Mpya wakati alishawambia kwenye vikao vyao huko ndani kwamba hataki kusikia mambo ya Katiba Mpya???
Hata huko kwenye korido zao, machawa wa Nduli wanasema Nchimbi ni msaliti, anasifia Wanaharakati ambao Nduli anawaona k**a Alshabaab na kwamba Nchimbi anapush agenda za wapinzani wao ili aonekane mwema wakati ndani ya Chama chao walishakubaliana kwamba hawawezi kuruhusu mchakato wa Katiba Mpya kwasababu wanahofia kupoteza madaraka.
Ndo maana hata juzi kati wakati Nduli anaongea na tule tuvyama twa kwenye briefcase alisema kwamba
“TUTAFANYA MABADILIKO KWENYE KATIBA”
Hakusema kwamba wataanzisha au kufufua mchakato wa Katiba Mpya kwasababu hana/hawana huo mpango hata ile kauli ya Ridhwani Kikwete aliyoitoa juzi kati kwamba tuwapuuze wanaodai Katiba Mpya haikuwa bahati mbaya, anajua kwamba huo ndo msimamo wa Nduli Idd Amin Mama pamoja na Chama chao.
Sasa turudi kwenye issue ya Nduli kutaka KUM'NDUGAI Nchimbi, iko hivi baada ya Nchimbi kuzungumza kuhusu Katiba Mpya na mjadala kuwa mkali sana mitandaoni, Nduli Idd Amin Mama alituma baadhi ya Wastaafu wakazungumze na Nchimbi wajifanye wanamshauri ili akubali kujiuzulu na sababu waliyompa Nchimbi ni kwamba eti kwasababu kuna baadhi ya mambo hakubaliani na Nduli hivyo wao wanaona ni bora ajiuzulu, Nchimbi akawagomea.
Baada ya kugoma ndo wakaitisha kikao chao cha Halmashauri Kuu ambacho kilifanyika Zanzibar kwenye iko kikao Nchimbi alishambuliwa k**a mpira wa kona na hoja za Wajumbe waliokuwa wanamshambulia walikuwa wanasema, kwanini aseme Wananchi wapiganie Katiba Mpya wakati walishakubaliana kwamba hakuna mambo ya Katiba Mpya??
Badada ya mashambulizi, mwisho wa siku Nduli akasema kesi ya Nchimbi ipelekwe huko kwenye K**ati ya Maadili, aitwe ahojiwe na achukuliwe hatua, kwa msiomfahamu K**ati ya Maadili ya CCM Mwenyekitiki wake ni Mzee Wasira 😀 ambae akiwa na Idd Amin Mama anasema Nchimbi miyeyusho, akiwa huko gizani ambako Nduli hayupo anasema Nduli ni uwezo wake kiuongozi ni mdogo sana ila hawana namna maana ndo Mwenyekitiki wao so inabidi wamnafkie tu.
Nduli Idd Amin Mama na washauri wake baada kugundua kwamba huko kwenye K**ati ya Maadili mchakato wake unaweza usiwape matokeo ambayo wanataka, wameona bora watumie njia ya mkato.
Wamepanga kuwapa pesa baadhi ya Wabunge haram ili watakapo anza vikao vya Bunge vinavotarajia kuanza hivi karibuni, kila wakisimama kuchangia watakuwa wanamshabulia Nchimbi na kushinikiza ajiuzulu sababu zao zitakuwa zile zile kwamba ni msaliti na anamdharau Nduli Idd Amin kwasababu ni Mwanamke na Spika haram anajua kuhusu mchongo mzima maana kashirikishwa na wamekubaliana mjadala utaanzia Bungeni.
Then Viongozi wa CCM pamoja na uvisisiemu ambao watapewa maokoto watapokea kijiti kisha wataanza rasmi kufanya press za kumshambulia Nchimbi huku wakimshinikiza ajiuzulu.
K**a asipojiuzulu, wamepanga kudraft barua na kuweka sahihi yake ili ionekane Nchimbi kajiuzulu yeye mwenyewe, k**a walivomfanyia Job Ndugai kwenye uSpika.
Nduli anataka kuweka mtu ambae atakuwa anampigia makofi na kumsifia hata akijamba.
Sasa wale mnaolilia maridhiano kwamba hayo maridhiano ndo yatawapa KATIBA MPYA endeleeni kusubiria boti airport, Nduli Idd Amin Mama na Chama chake hawana mpango wa kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya ndo maana mnaona Nchimbi anashambuliwa sana kisa kasema mambo ya KATIBA MPYA, Nduli anataka tuweke viraka kwenye Katiba hii iliyopo sasa.
Watanzania wenzangu, KATIBA MPYA tutaipa k**a ikifika mahali Watanzania wote bila kujali itikadi wala dini zetu, tukaamua kusimama na kupambana huku tukimtanguliza Mungu, njee ya hapo tutasubiri sana.
HUYU HAPA