Ramani Kali Visual Lab

Call Directions Website

Ramani Kali Visual Lab Kwa ramani na ujenzi wa majengo ya kisasa tu follow!!



03/10/2026

🏡🔥 UNATAFUTA RAMANI YA NYUMBA YA VYUMBA 3? HII NI YAKO!

Jenga nyumba unayoitamani kwa ramani ya kisasa, yenye mpangilio mzuri na matumizi bora ya nafasi.

RAMANI KALI tunakutengenezea ramani kulingana na mahitaji yako, ukubwa wa kiwanja na bajeti yako.

✅ Ramani za kisasa
✅ Mpangilio wa vyumba unaovutia
✅ Design kulingana na mahitaji yako
✅ Huduma ya kitaalamu
✅ Tunakusaidia kutoka wazo hadi ramani tayari kwa ujenzi

🔥 USIJENGE KWA KUBAHATISHA JENGA KWA RAMANI SAHIHI!

📞 0678 282 801 | 0736 282 801 | 0739 282 802
📲 Piga simu au WhatsApp sasa hivi kupata ramani yako.

🏠 RAMANI KALI — Wazo lako, ramani yetu, nyumba yako ya ndoto!

Ujenzi ModernHouse TanzaniaHomes BuildingDesign

UNA MPANGO WA KUJENGA? USIANZE UJENZI BILA RAMANI! 🔥Usipoteze pesa kwa kujenga kwa mazoea. Tunakutengenezea ramani ya ny...
01/10/2026

UNA MPANGO WA KUJENGA? USIANZE UJENZI BILA RAMANI! 🔥

Usipoteze pesa kwa kujenga kwa mazoea. Tunakutengenezea ramani ya nyumba inayolingana na eneo lako, mahitaji yako na bajeti yako.

✅ Ramani ya kisasa na yenye mvuto
✅ Mpangilio unaotumia nafasi vizuri
✅ Tunazingatia mahitaji yako kabla ya kuchora
✅ Design inayokupa picha ya nyumba yako kabla hujaanza kujenga

📲 Tuma DM sasa na utuambie unataka kujenga nyumba ya aina gani. Tutakushauri na kukupa hatua inayofuata.

Wazo lako la nyumba linaweza kuanza leo. Usisubiri mpaka uanze ujenzi ndipo uanze kupanga. 🔥

28/09/2026

Happy new week to our beloved customers🤝
We are open ready to serve you🫶🏼

Miaka 23 ya Ubora na Mafanikio katika Uhandisi! 🏗️👷‍♂️RAMANIKALI GROUP OF COMPANY ilipata fursa ya kushiriki katika kuad...
25/09/2026

Miaka 23 ya Ubora na Mafanikio katika Uhandisi! 🏗️👷‍♂️

RAMANIKALI GROUP OF COMPANY ilipata fursa ya kushiriki katika kuadhimisha Siku ya Wahandisi ya 23, tukio lililokusanya pamoja wataalamu na wadau mbalimbali wa sekta ya uhandisi na ujenzi.

Ni heshima kuwa sehemu ya maadhimisho haya yanayotambua miaka 23 ya mchango, ubunifu, maarifa na maendeleo katika taaluma ya uhandisi.

Tunaendelea kushirikiana na wataalamu na wadau wa sekta hii kwa lengo la kuimarisha ujenzi wenye ubora, usalama na thamani kwa jamii.

Miaka 23 ya Uhandisi. Miaka 23 ya Maendeleo. 🏗️

25/09/2026

👷🏽‍♂️ MEN AT WORK, BUILDING WITH PURPOSE

Kila hatua ya ujenzi inahitaji umakini, usahihi na mipango sahihi. Kutoka kwenye ramani hadi site, tunahakikisha kila hatua inakwenda kwa mpangilio unaofaa.

🏗️ Jenga kwa mpango. Jenga kwa uhakika.

Unapanga kujenga? Wasiliana nasi leo kwa ushauri na huduma za kitaalamu za ujenzi.

📞 0678 282 801 | 0736 282 801 | 0739 282 802

SiteWork BuildingPlans

24/09/2026

Yes and finally, jinsi inavyoonekana baada ya kazi kwa sasa hatua inayofuata na tulionayo sasa ni kumwagilia kutwa mara tatu k**a dose asubuhi, mchana na jioni.

Kwa ramani za kisasa za nyumba na ujenzi wasiliana nasi kwa mawasiliano zaidi; 0678282801, 0736282801 & 0739282802

Please dont forget to follow our page; Ramani Kali Group Ramani Kali Group

Ukiongea kuhusu Ramani kali unaongelea huduma bora na si bora huduma tu, tunaendelea na kazi na hapa tulikuwa tunaset bo...
22/09/2026

Ukiongea kuhusu Ramani kali unaongelea huduma bora na si bora huduma tu, tunaendelea na kazi na hapa tulikuwa tunaset bomba za kupitishia umeme.
Slide kuona steps to steps hadi tulipofikia leo

Fundi umeme tupo site kuendelea na kazi mteja wetu asije kukosa umeme baadae njia za umeme kueka socket ni za kutosha👌

Enjoy the pictures😁😍

Hapa baada ya kumaliza kuset njia za umeme kupita inafata zege kwa juu

Kazi inaendelea

On progress

Engineer yupo site kuhakikisha kila kitu kipo sawa👌🏻

Half of the work👌

Tunakaribia kumaliza

Si hata we umeona zege imekolea na hapo ni mchana tumeanza asubh mpaka mchana zege limeisha

Finishing

Finally unaeza kuelewa kutoka mwanzo mpaka hapa tumemaliza kazi salama

Tupigie sasa kwa mawasiliano zaidi au tutumie ujumbe inbox au comment yako tutakujibu

Finally the view is so good👌🏻

18/09/2026

MEN AT WORK🪖

Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ramani Kali Visual Lab posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share