07/06/2025
Bro, watu hujua tu biashara ni biashara... but wacha nikushow vile delivery ya kawaida iligeuka rally ya kisiasa!
So mimi hapa Shemcut.com β k**a kawa, nimepack lorry yangu ya ndarugo machine cut stones huko Juja. Mission ni simple: deliver mawe Ukambani, client ni msee amejenga rentals pale Machakos. Straightforward job, right?
WRONG. π©
Twende Kazi β Mpaka Ukambani
Tumepita Thika, barabara iko poa, driver ako playlist ya Mugithi na DJ DIBUL β vibes iko juu. Halafu somewhere near Matuu, gari ikaanza kuskia baridi β convoy inakam.
Si kawaida tu β hizi gari ni zile za black Prado, Harrier, matruck, na wasee kwa sunroof wakiwave flags. Msee wangu ananiambia:
"E buda, hiyo ni Cousinsβ Convoy!"
Nikabaki, huh?
βWewe si uko kwa simu kila time? Cousins ni wasee wa mtaa yetu wa Mount Kenya sasa wameanza kupatana na cousins wa Ukambani. Opposition vibes. Love is in the air na manifesto iko kwa boot.β
Convoy imesimama juu ya traffic. Saa hizo mimi na lorry ya mawe tumepark kando. Wasigeuze mawe ya shemcut ikuwe weapon incase nishout "Tutam" na 'Wantam" Halafu guess what? One of them akakuja kwa window, akaona ndarugo.
Akasema:
βEeh boss, hii ni mawe ya Juja? Original ndarugo? Tuko na rally hapa, lakini unaeza nipatia card yako juu tunajenga church yetu ya movement Machakos.β
Nikapass Shemcut.com card faster than Paybill.
Akamwambia mwingine,
βWee ona huyu jamaa wa Juja ameleta mawe kwa cousins. Unity ni mawe, sio maneno!β π Nikajua baaas , Kumbe niko kwa cousins
Wakaanza kucheka, selfie hapa, na mtu mmoja aka-request Fanta baridi . Najipata nimeshake mkono na mtu niliona kwa TV juzi akisema βtutachukua nchi.β "Tutam", "Wantam' Lakini sikupata kakitu ..Mimi na pilot tukazidi na journey yetu.
Juu lazima mawe ifike kwa macuzo
Kumbuka:
π§± Mawe hujenga nyumba, lakini pia huleta watu pamoja.
π Wakati wanasiasa wanapigana kwa X (Twitter), watu kwa ground wanapigana na rent, na wanajenga nchi.
π€ Na whether ni Kamba ama Kikuyu, Juja ndarugo ni kitu imeunite βcousinsβ bila handshake. Kenya ni yetu sisi wote
Need machine cut stones?
π Juja ndarugo β legit.
π Delivery? Anywhere. Even during political convoys.
π² DM 0797 917249 or visit Shemcut.com β we move Kenya, one stone at a time.
πππ Cousins waiting for cousinsπ€£π€£π€£