Modern Building Technology.

Modern Building Technology. Giving the best service countrywide

26/08/2026

𝐒𝐀𝐒𝐀 𝐓𝐔𝐍𝐀𝐖𝐄𝐙𝐀 π–π€π’πˆπ‹πˆπ’π‡π€ πŒπ€π’π‡πˆππ„ π‡πˆπˆ π‡π€πƒπˆ πŒπ€π‡π€π‹πˆ ππŽππŽπ“π„ *LUBUMBASHI DRC* 𝐍𝐀 πŒπ€π‹πˆππŽ 𝐍𝐈 𝐁𝐀𝐀𝐃𝐀 π˜π€ π”π–π€π’πˆπ‹πˆπ’π‡π€π‰πˆ. π”π“π€πŠπˆππ€ π”πŠπˆππŽπŠπ„π€ πŒπ€π’π‡πˆππ„. π“π”ππ€ππ€π“πˆπŠπ€ππ€ π‰πˆπ‰πˆππˆ , *_DAR ESSALAAM TANZANIA_*

TENGEZA MATOFALI HAYA YA UDONGO NA SARUJI YANAYOUNGANISHWA KWA NAMNA YA KIURAHISI ZAIDI ILI KUOKOA GHARAMA YAKO .BOFYA HAPA ILI KUWASILIANA NA MIMI MOJA KWA MOJA KATIKA MTANDAO WA WHATSAPP wa.me//+254722303877

Tumepunguza bei ya mashine hii ya mkono ya kutengeza matofali haya ya kuingiliana kutoka TZS 3,000,000 hadi TZS 2,350,000/=.OFA hii ni halali NDANI YA WEEK MBILI KUANZIA LEO Piga simu kwa nambari hii: +254722 303877

πŠπ”πŒππ”πŠπ€:π†π‡π€π‘π€πŒπ€ π˜π€ π”π–π€π’πˆπ‹πˆπ’π‡π€π‰πˆ, 𝐔𝐒𝐇𝐔𝐑𝐔 𝐖𝐀 π…πŽπ‘πŽπƒπ‡π€ 𝐍𝐀 𝐀𝐃𝐀 π˜π€ πŠπˆππ€π‹πˆ 𝐂𝐇𝐀 πŠπ”π•π”πŠπ€ ππŽπƒπ€ π“π–π€π‹πˆππ€ π’πˆπ’πˆ.

Tunatuma mashine hadi Mahali ulipo pamoja na mfanyikazi mkufunzi atakayekwonyesha jinsi ya kutumia mashine hii.

Okoa gharama ya ujenzi wa nyumba yako hadi asilimia hamsini (50%) au tengeza/ Fyatua matofali za udongo+saruji+maji za kuingiliana za kuuza kwa kutumia mashine hii ya mkono (manual machine)

Siku hizi,njia rahisi ,mwafaka,na yenye bei nafuu katika bara la Africa ni utumiaji wa matofali haya ya kuingiliana ambayo hutengezwa kwa udongo uliofinyangwa pamoja na saruji (cement)

Matofali yaliyotengezwa na mashine hii yameundwa k**a vipande viwili vilivyounganishwa vya pazoli ya jigsaw huku Kila tofali likiwa na kadirio kwa upande mmoja na sehemu iliyoingiliana kwa upande mwingine hivyo kuyafanya yapangike kiutaratibu.

Yakilinganishwa na mawe ya kawaida ,matofali haya ya kuingiliana yanazidi kuwa maarufu Sana barani Africa kwa Sababu ya gharama ya kuyatengeza iliyo chini.Mbali na kuwa malighafi ya kuyatengeza matofali haya yanapatikana kiurahisi ,matofali haya yanaweza kuunganishwa kwa urahisi hivo gharama ya ujenzi inapunguka na pia wakati mchache wa ujenzi unatumika.

Zaidi ya hayo,mbinu hii ya ujenzi ukitumia matofali haya ni ya kudumua na ni rafiki wa mazingira ikilinganishwa na mbinu nyingine za ujenzi.

Mashine hii yatengeza matofali kati ya mia nne na hamsini(450) hadi mia tano na hamsini(550) kwa shifti moja ya masaa kumi.

14/08/2026

OFA!!! OFA!!! OFA!!!

Tunakuja na mashine bora ya kutengeneza matofali ya kuungana (Interlocking Bricks) kwa ofa maalum ya AUGUST.
βœ… Lipa baada ya kupokea mashine yako Tanzania.

WASILIANA NASI WHATSAPP

---Message Interlocking Bricks Machine Africa on WhatsApp. https://wa.me/message/VADYQAWPBHRSJ1

πŸ’Έ PUNGUZO LA MUDA MFUPI (OFA)

Sasa: *TZS 2,350,000/=*
BEI BAADA YA OFA
*3,000,000/=*
⏳ *OFA* inaisha tarehe *25 August 2026*

πŸ“² Piga au WhatsApp: +254722303877

---

🏠 FAIDA ZAKO UKIPATA MASHINE HII

βœ” Jenga nyumba yako kwa gharama ndogo
βœ” Anzisha biashara ya kuzalisha na kuuza matofali
βœ” Tumia likizo kujenga kipato cha kudumu
βœ” Punguza gharama za ujenzi kwa zaidi ya nusu
βœ” Fanya kazi ukiwa karibu na familia yako

---

βš™οΈ UWEZO WA MASHINE

πŸ”Ή Inatumia nguvu za mikono (hakuna umeme)
πŸ”Ή Inazalisha matofali 450–550 kwa siku
πŸ”Ή Matofali huungana bila kutumia saruji nyingi
πŸ”Ή Ujenzi ni wa haraka, imara na wa kudumu
πŸ”Ή Rafiki kwa mazingira na rahisi kutumia

Message Interlocking Bricks Machine Africa on WhatsApp. https://wa.me/message/VADYQAWPBHRSJ1..

πŸš› HUDUMA KAMILI HADI ULIPO

Tunakuwezesha kila kitu: βœ… Mashine kamili
βœ… Fundi wa kukufundisha matumizi
βœ… Mafunzo ya kutengeneza matofali bora
βœ… Mwongozo wa kuanzisha biashara ya matofali

πŸ‘‰ Ushuru wa forodha na vibali vyote tunavigharamia sisi

WASILIANA NASI WHATSAPP
---

🎁 BADILI LIKIZO KUWA URITHI WA MAISHA

Leo unawekeza.
Kesho unajenga.
Keshokutwa unafaidika.

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa: 0722 303 877
WHATSAPP LINK
Message Interlocking Bricks Machine Africa on WhatsApp. https://wa.me/message/VADYQAWPBHRSJ1

Address

Munyu Road, Munyu Business Centre
Nairobi
20100

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Modern Building Technology. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share