06/02/2026
MGAGI ROYAL FURNITURE
π Kisauni (Bakery) β Zanzibar
π Simu: (0629638786)
π§ Email: ([email protected])
π± WhatsApp: (0629638786)
WHO WE ARE
MGAGI ROYAL FURNITURE ni kiwanda cha furniture chenye uzoefu wa miaka 12, kinachojihusisha na utengenezaji wa samani za kisasa na za asili kwa matumizi ya makazi, miradi ya ujenzi, hoteli, ofisi na taasisi mbalimbali Zanzibar.
Tumekuwa tukitoa huduma zenye ubora wa hali ya juu, uimara na urembo, tukizingatia mahitaji ya mteja na viwango vya kitaalamu.
OUR PRODUCTS & SERVICES
Tunazalisha na kusupply:
ποΈ Vitanda (Beds)
πͺ Milango ya mbao (Wooden Doors)
ποΈ Makabati (Wardrobes & Cabinets)
πΌοΈ Showcase
πͺ Samani zote za majumbani na ofisini
ποΈ Furniture kwa miradi ya ujenzi (construction projects)
EXPERIENCE
Miaka 12 ya uzoefu Zanzibar
Kiwanda chenye uwezo wa:
Kutengeneza oda ndogo na kubwa
Kufanya kazi kwa ratiba ya miradi ya ujenzi
Uzoefu wa kufanya kazi kwa:
Wateja binafsi
Majengo ya makazi
Miradi ya ujenzi (housing & renovations)
WHY CHOOSE US
β Ubora na uimara wa bidhaa
β Bei shindani
β Kazi kwa wakati
β Uwezo wa kufanya subcontract / supply kwa makampuni ya ujenzi
β Uzoefu wa mazingira ya Zanzibar
OUR TARGET PARTNERS
Makampuni ya Ujenzi
Real Estate Developers
Housing Projects
Hotel & Apartment Projects
Serikali & Taasisi binafsi
CONTACT
π Kisauni (Bakery), Zanzibar