27/04/2026
Karibuni Zagalo Enterprise inayosifika kwa interior design na utengezaji wa furniture bingwa zanzibar nzima
Tunachukua order za design mbali mbali kutoka kwa wateja wetu kwa bei nafuu na kazi zetu zinasifika kwa uziri na finishing zake
Tunapatikana Lumumba gulioni opposite BOT na kiwanda chetu kipo Bububu Kijichi
Kwa maelezo zaidi Piga au Whatsapp +255678702085
Karibuni sana