DEO BUILD SMART TZ

DEO BUILD SMART TZ Civil Engineer � | Sharing construction tips, site progress & real project experience in Tanzania

Aliyekuwa Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Nigeria, Michael Eneramo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 40 baada ya ...
25/04/2026

Aliyekuwa Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Nigeria, Michael Eneramo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 40 baada ya kuanguka uwanjani wakati wa mchezo wa kirafiki.

Kwa mujibu wa Shirikisho la soka nchini Nigeria (NFF), Eneramo alianguka dakika chache baada ya kuanza kwa kipindi cha pili, ambapo inadaiwa alipata tatizo la moyo (cardiac arrest).

Mchezo huo ulifanyika eneo la Ungwan Yelwa, mjini Kaduna, na Eneramo alicheza kipindi chote cha kwanza kabla ya tukio hilo kutokea.

Katibu Mkuu wa NFF, Mohammed Sanusi, alisema ameshtushwa na msiba huo akieleza kuwa ni pigo kubwa kwa soka la Nigeria.

Eneramo aliichezea Nigeria mara 10 baada ya kufanya maamuzi ya kukataa kuchezea Tunisia, ambako alicheza soka la kulipwa kwa mafanikio makubwa. Alijulikana zaidi akiwa na klabu ya Espérance Sportive de Tunis ambapo alishinda mataji mbalimbali.

Katika maisha yake ya soka la klabu, pia aliwahi kucheza Uturuki kwenye timu za Sivasspor, Beşiktaş na İstanbul Başakşehir.

Eneramo alicheza mechi yake ya kwanza ya kimataifa kwa Nigeria mwaka 2009 dhidi ya Jamaica, na akafunga bao lake la kwanza dhidi ya Ireland miezi michache baadaye.

Timu yako iko nafasi ya ngapi katika rank za CAF
24/04/2026

Timu yako iko nafasi ya ngapi katika rank za CAF

Bruno Fernandes has 5 games to get 3 assists to set the all-time Premier League season assist record.The whole world nee...
20/04/2026

Bruno Fernandes has 5 games to get 3 assists to set the all-time Premier League season assist record.

The whole world need him to achieve this!
🏃‍♂️🔝 Henry and kelvin Debruine record

Diego Simeone katika miaka 11 ya mwisho ya ukocha ndani ya Atlético2015: League ❌ Cup ❌ UCL ❌2016: League ❌ Cup ❌ UCL ❌ ...
20/04/2026

Diego Simeone katika miaka 11 ya mwisho ya ukocha ndani ya Atlético
2015: League ❌ Cup ❌ UCL ❌
2016: League ❌ Cup ❌ UCL ❌
2017: League ❌ Cup ❌ UCL ❌
2018: League ❌ Cup ❌ UCL ❌
2019: : League ❌ Cup ❌ UCL ❌
2024: League ❌ Cup ❌ UCL ❌
2025: League ❌ Cup ❌ UCL ❌
2026: League ❌ Cup ❌

Kazini kwake kuna kazi 🤔 wanasema anajua kuikazia FC BARCELONA tuuu

20/04/2026


📊 Bayern Munich win the Bundesliga title this way: Kompany's side dominate EVERY key metric this season:

🥇 MOST GOALS SCORED - 109
🥇 FEWEST GOALS CONCEDED - 29
🥇 MOST XG ACCUMULATED - 91.05
🥇 FEWEST XG CONCEDED - 32.51
🥇 MOST SHOTS P/G - 19.4
🥇 FEWEST SHOTS CONCEDED P/G - 10.0
🥇 MOST SHOTS ON TARGET P/G - 8.7
🥇 FEWEST SHOTS ON TARGET CONCEDED P/G - 2.9
🥇 MOST BIG CHANCES P/G - 5.0
🥇 MOST TOUCHES IN OPP. BOX P/G - 40.7
🥇 FEWEST TOUCHES IN OPP. BOX ALLOWED P/G - 17.8

Vincent Kompany's machine deservedly takes home the 𝟑𝟓𝐭𝐡 𝐥𝐞𝐚𝐠𝐮𝐞 𝐭𝐢𝐭𝐥𝐞 𝐢𝐧 𝐜𝐥𝐮𝐛 𝐡𝐢𝐬𝐭𝐨𝐫𝐲. 👑🏆

19/04/2026

Simba SC imepata anguko kubwa kwenye renki za CAF baada ya kutupwa nafasi ya 11 wakati Mamelodi Sundowns ikiwa nafasi ya kwanza yaani ON TOP 🔝:

Yanga wao hawapandi wala kushuka mitaa yao ile ile nafasi ya 12 na sasa wapo karibu na ndugu yao pacha wake Simba SC ambaye yupo mtaa wa 11.

Anguko la Simba kimataifa likiendelea hata Ligi ya Tanzania ambayo ipo Nafasi ya Tano itaanguka msimu ujao wajitahidi kurudi hata Robo fainali.

👉NB UBINGWA SI RENKI NDUGU ZANGU ASFAR KATOKA NAMBA 17 LEO YUPO FAINALI NA NAMBA 8 KWENYE RENKI ZA CAF

1. Mamelodi Sundowns 👉 68 pts
2 . Al Ahly Sporting Club 👉 66 pts
3. Esperance Sportive de Tunis 👉58 pts
4 . RS Berkane 👉 57 pts
5. Zamalek Sporting Club 👉49 pts
6. Pyramids F.C 👉 48 pts
7. USM Alger 👉 42 pts
8. FAR RABAT 👉 41 pts
9. Al Hilal Omdurman 👉 39 pts
10. CR Belouizdad 👉 38 pts
11. Simba Sports Club 👉 38 pts
12. Young Africans Sports Club 👉 35

🔝NB SOKA LA AFRIKA LINA USHINDANI MKUBWA SANA WAKATI HUU UKIZINGUA WANAPANDA .



Kwa vile amefungwa mbeya City goli 6 kelele ni nying yanga wamenunua, naongea na nyiny makolo mnakumbuka mara ya mwisho ...
18/04/2026

Kwa vile amefungwa mbeya City goli 6 kelele ni nying yanga wamenunua, naongea na nyiny makolo mnakumbuka mara ya mwisho kupata ushindi mbele ya Yanga ni mwaka gani ama mnajizima data, Mbeya City waliingia kweny mfumo kam mlivyoingia nyiny mkakalia chuma 5, maana ya kocha ni kua na mbinu tofaut, tulivyotoa sare na Mbeya City kwao mlitegemea waje wapate tena sare kwetu, yanga ina viongozi weny akili timamu na tuna uchungu na timu lazima tuangalie wapi tunakosea na ata tulivyopata sare na nyiny pamoj na Azam hatukufurahi kabsa na tuna uchungu mwingi kweny hili swala, sasa naomba muache propaganda kam yanga inanunua mechi basi mpka Mo tunamnunua, shubamit nyiny 😅😅
💚💛
Source: HERSI SAID

9 Years Ago Today – 🎙️ | Ander Herrera:"I said, Jose, I am ready if you need me to man-mark him [Hazard], to follow him ...
17/04/2026

9 Years Ago Today –

🎙️ | Ander Herrera:

"I said, Jose, I am ready if you need me to man-mark him [Hazard], to follow him everywhere. If he wants to go to the bathroom, I will go with him because I want to win the game."

𝐢𝐜𝐨𝐧𝐢𝐜. 🇪🇸

Address

KISAUNI
Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DEO BUILD SMART TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category