Tunakujengea nyumba yako mwanzo hadi mwisho. Chagua ramani | Lipia gharama za ujenzi |Pokea funguo...
23/11/2022
Usikubali kubaki na ramani yakizamani wakati jenga tz tunang'arisha mijengo kila siku... Njoo kwetu ung'are kisasa...
23/11/2022
Unapenda aina gani ya ramani?
23/11/2022
23/11/2022
Ramani na design zetu tumezichagua kwakuzingatia mazingira yetu halisi yakitanzania, hivyo zinajengeka popote Tz...
23/11/2022
Pia k**a ungependa tuifanyie nyumba yako renovation ikae kisasa zaidi, sisi ndio wataalam wa hizo kazi... Njoo kwetu
23/11/2022
Hatuna mpinzani hata mmoja hapa Tanzania na East Africa kwaujumla wake, viwango vyetu ni vya kimataifa... Ramani zetu ni unique, huwezi kuzipata kirahisi. Njoo ujenge nasi nyumba ya ndoto zako
23/11/2022
Nyumba k**a hii unaweza kujengewa kwenye kiwanja chako vizuri kabisa. Maisha yameboresha na jenga tz, usikubali kubaki nyuma...
23/11/2022
Sasa unapata nyumba za kisasa hapa hapa Tanzania. Wewe unachotakiwa kufanya ni kuchagua design unayopenda, kisha sisi tunamaliza kila kitu tunakukabidhi funguo.
Be the first to know and let us send you an email when Jenga Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.