Lean more than%"

Website Contact the business

Lean more than%" Electrical Installation, Electrical Trouble shooting, Electrical Maintainance,

16/09/2026
23/11/2023
Muda tudhaniao siyo muafaka lakini muda muafaka hutaudhania.
24/12/2019

Muda tudhaniao siyo muafaka lakini muda muafaka hutaudhania.

27/06/2019

"Dhambi si Dhambi ila Dhambi ni Dhambi tukiitenda tunajua kuwa ni Dhambi"

ukweli wa miungu wawili yaani Mungu na shetani ni "Nafsi" Zetu yaani Binadamu, shetani au Mungu ninaweza kuwa hata mimi na wewe. kwa mazuri "tunauishi Umungu" kwa mabaya "tunauishi ushetani" tutafikiri na kudhania kuwa Mungu yupoje na shetani yupoje ukweli ni kwamba mimi au wewe tunaweza tukawa Mashetani wakubwa na kuwa Mungu;- uhalisia wa kuwa na roho ya Kimungu au kishetani hujengo kutokana na malezi ya watu na matendo yao. Msingi mkubwa wa Malezi ni kwa wazazi na walezi, hawa ndio sababu kubwa ya kumjengea Mtoto roho ya Kimungu au mbaya, lakini pia sababu nyingine ni Malezi ya Hatua, Nikisema malezi ya "Hatua" namaanisha kuwa katika maisha ya Mwanadamu kuna hatua za ukuaji tukianza akiwa "Mtoto" , "Kijana" hata Mtu mzimz mwenye maamuzi binafsi hatua mbaya katika kumjenga mtu huwa wakati wa ujana wake hapa mara nyingi kijana hulazimisha kufanya maamuzi kwa sababu zifuatazo;- 1. Shinikizo la watu wanaotaka kuitumia hatua yake kwa kwa mambo yao binafsi. 2. Tamaa za maisha (Kutamani hatua ambayo kimsingi muda wake haujafika) 3. Kutazamia mbona Flani, mbona naweza, kwani nitafanyeje. Hapo ndipo kijana hujihusisha na mambo k**a;- uvutaji wa madawa ya kulevya, umalaya, wizi, kiburi na ushindani usio na maana.......... By; John Christopher JCM๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

23/02/2017
So hendsam
07/02/2017

So hendsam

18/01/2017

maisha yetu hapa dunian nimafup yako kam "inzi" mwanadam ni nan hata kujingamba katik sehem isiyo yake maisha yetu tunapita kam siku ipitavyo haijirudii kamwe katik maish ndivy tulivy,hivy hivy watu "walikuwep" "tupo" na "watakuwepo" ulizaliw bila nguo utarud bila nguo kw huruma huongezew jeneza kam mshenga wako,mali na kila kitu si vyako ni vyake yey katika imani twaamin yupo wew si "kitu"

Address

Segese
Kahama

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lean more than%" posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Lean more than%":

Shortcuts

Share

Category