Makazi Drilling Company

Website

Makazi Drilling Company Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Makazi Drilling Company, Well water drilling service, Kisasa, Dodoma.

✅️Tunafanya Survey Kubaini Wingi na Kina cha Maji Ardhini.
✅️Tunachimba Visima Virefu na Vifupi.
✅️Tunafunga Pump za Maji (Pump Installation)

Tunahudumia Makampuni,Taasisi, Familia na Miradi Mikubwa ya Maendeleo kwa Gharama Nafuu 🇹🇿
📲 0739113961

18/09/2025

UKIPITWA NA PUNGUZO HILI NDIO BASI TENA...

💧 Maji ni Uhai, na Kazi Yetu Sisi ni Kukuletea Uhai Karibu Yako!

Sisi ni Makazi Drilling Company, kampuni inayoongoza katika uchimbaji wa visima vya maji safi na salama ya kunywa Tanzania.

Tunatumia teknolojia ya kisasa, vifaa vya kisasa vyenye kiwango cha ubora wa hali ya juu na timu yenye uzoefu mkubwa.

Tunahakikisha kila kisima tunachokichimba kinadumu na kimekiddhi viwango vyote vya kimataifa
( International Standards )

🌍 Tunahudumia mashirika, taasisi, ngazi ya familia na miradi mikubwa ya maendeleo.

✅️ Kuhusu Ubora Hatuna Mshindani.

✅️ Tuna Timu ya Wataalamu Waliobobea.

✅️ Huduma za Kisasa na Haraka kwa Wakati.

✅️ Uhakika wa Maji Safi na Salama 100%

☎️ Wasiliana Nasi Sasa Hivi 0739113961 / 0765113961

Kumbuka tuna punguzo la gharama za Survey na uchimbaji kwa 30%.

Mwisho wa OFA hii ni jumapili ya wiki hii saa 12 jioni

Makazi Drilling Company ni Chanzo Chako cha Uhakika cha Maji Safi na Salama ya Kunywa Tanzania.

03/09/2025

Watu Wengi Tayari Wameshanufaika na Maji Safi na Salama Kutoka Kwetu Mabingwa wa Kuchimba Visima Virefu na Vifupi!

Na wewe unaweza kuwa mmoja wao leo.

Makazi Drilling Company tunakuletea huduma ya kitaalamu ya uchimbaji wa visima vya maji safi na salama kwa kutumia mashine za kisasa kabisa.

✅️ Tunafanya uchunguzi (Water Detection Survey) ili kubaini yalipo maji mengi ndani ya eneo lako na pia kufahamu umbali yanakopatikana maji kutoka kwenye uso wa ardhi ndani ya eneo lako kwa kutumia mashine za kisasa na kwa muda mchache sana.

✅️ Tunachimba visima virefu na vifupi kwa mashine za kisasa kabisa. ( Open hole na Full pvc)

🎯Note- maeneo mengi ya DODOMA JIJI tunachimba visima vya open hole kwa sababu ya mwamba mgumu ulipo maeneo mengi ya Dodoma.

✅️ Tunakurahisishia kupata maji mengi safi na salama kwa familia yako na kwa matumizi ya biashara pia.

✅️ Bei zetu za Survey na uchimbaji wa visima ni nafuu kweli kweli ukilinganisha na Makampuni mengine.

📞 Wasiliana nasi sasa hivi kabla gharama hazijapanda 0765113961 / 0739113961

Mwisho wa punguzo la bei ni weekend hii siku ya jumapili saa 12 jioni.
🎯 Maji safi na salama ni uhai, usisubiri fanya maamuzi utupigie sasa hivi.

02/09/2025

HII HAITAKAA ITOKEE TENA...

💧 Hizi hapa sababu kubwa 5 ni kwa nini hutakiwi kupitwa na OFA hii ya Survey na kuchimbiwa kisima kwa punguzo la bei la 20%...

Kwa Kuwa Maji ni Uhai Basi,Kazi Yetu Sisi ni Kukuletea Uhai Karibu Yako!

Sisi k**a Makazi Drilling Company, kampuni inayoongoza katika uchimbaji wa visima vya maji safi na salama ya kunywa Tanzania.

Tunatumia teknolojia ya kisasa, vifaa vya kisasa vyenye kiwango cha ubora wa hali ya juu na timu yenye uzoefu mkubwa.

Tunahakikisha kila kisima tunachokichimba kinadumu na kimekiddhi viwango vyote vya kimataifa
( International Standards )

🌍 Tunahudumia mashirika, taasisi, ngazi ya familia na miradi mikubwa ya maendeleo.

✅️ Kuhusu Ubora Hatuna Mshindani.

✅️ Tuna Timu ya Wataalamu Waliobobea.

✅️ Huduma za Kisasa na Haraka kwa Wakati.

✅️ Uhakika wa Maji Safi na Salama.

✅️ Huduma ya Survey na uchimbaji tunatoza gharama nafuu sana ukilinganisha makampuni mengine.

☎️ Wasiliana Nasi Sasa Hivi 0739113961 / 0765113961

Tumetoa OFA ya punguzo la bei kwa 20% kuanzia Survey mpaka kuchimbiwa kisima itakayodumu mpaka jumapili ya wiki hii jioni.

Makazi Drilling Company ni Chanzo Chako cha Uhakika cha Maji Safi na Salama ya Kunywa Tanzania.

02/09/2025

💧 Maji ni Uhai, na Kazi Yetu Sisi ni Kukuletea Uhai Karibu Yako!

Sisi ni Makazi Drilling Company, kampuni inayoongoza katika uchimbaji wa visima vya maji safi na salama ya kunywa Tanzania.

Tunatumia teknolojia ya kisasa, vifaa vya kisasa vyenye kiwango cha ubora wa hali ya juu na timu yenye uzoefu mkubwa.

Tunahakikisha kila kisima tunachokichimba kinadumu na kimekiddhi viwango vyote vya kimataifa
( International Standards )

🌍 Tunahudumia mashirika, taasisi, ngazi ya familia na miradi mikubwa ya maendeleo.

✅️ Kuhusu Ubora Hatuna Mshindani.

✅️ Tuna Timu ya Wataalamu Waliobobea.

✅️ Huduma za Kisasa na Haraka kwa Wakati.

✅️ Uhakika wa Maji Safi na Salama 100%

☎️ Wasiliana Nasi Sasa Hivi 0739113961 / 0765113961

Makazi Drilling Company ni Chanzo Chako cha Uhakika cha Maji Safi na Salama ya Kunywa Tanzania.

Address

Kisasa
Dodoma
163

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Makazi Drilling Company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share