kingu pavement C

kingu pavement C karibu kwa huduma bora ya ujenzi wa paving za kisasa na zenye kuokoa gharama ya ujenzi

24/05/2026

Maandalizi ya kuimarisha uwanja kabla ya kuweka paving

12/05/2026

Kingupavement company tunafanya huduma za ujenzi wa paving kwa ubora wa hali ya juu

07/05/2026

Weka paving na kingupavement company

29/04/2026

Hello mdau na mpenzi wa vitu vizuri, hii ni paving ya kupanga nyenye uimara wa hali ya juu kwani mchanganyiko wake umehusisha na kokoto pia, karibu maua yapo mengi ni wewe tu mdau kuchagua lakin ata sisi tunaweza kukupa ushauri

26/04/2026

Tuko kwenye maandalizi ya kuhakikisha nyumba ya mdau wetu tunaipa thamani kwa kuweka paving za kisasa zaidi

18/04/2026

Fuatilia paving model ya kisasa inayotengenezwa na Kingu Pavement kwa viwango na ubora wa juu, wasiliana nasi sasa kupata huduma zetu

17/04/2026

Kazi yetu ni kuipa thamani nyumba yako kwa kuweka paving ama slabu yenye viwango vya juu na inayodumu kwa muda mrefu kutokana na ubora wa kazi inayofanywa na sisi, wasilina nasi kupitia 0686017789

12/04/2026

Utengenezaji wa paving za kisasa unaendelea kwa ubora mkubwa kwenye nyumba ya mdau wetu ambae aliamua kutoa paving za zamani na kuweka za kisasa, kingupavement company tunaipa thamani nyumba yako

11/04/2026

Chagua kilichobora, kikupe ubora kwa kuichagua Kingupavement company

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when kingu pavement C posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share