Mtaalamu wa umeme tz

Mtaalamu wa umeme tz Jafari mdudu fundi umeme πŸ’‘πŸ‘βš‘
Tunafanya wiring installation za Majumbani & Viwandani, maofisini.

Pia tunazingatia kumjali mteja kwa kukamilisha kazi na kukabidhi kwa wakati
Karibuni sana
Call +255 658078852
+255 710788522

06/07/2026

Ivyo ivyo itajulikana tuuuu !!!!!!!!πŸ’‘πŸ’ͺ⚑

πŸ™πŸ™πŸ™πŸ’‘πŸ 
04/07/2026

πŸ™πŸ™πŸ™πŸ’‘πŸ 

Mchana mzima kazini Dar. Hapa tunainstall DB Box ya kisasa na kucon...

03/07/2026

Mchana mzima kazini Dar. Hapa tunainstall DB Box ya kisasa na kuconnect Busbar kwa usahihi 100%. Kazi safi, level sawa, na usalama kwanza. Fundi umeme aliyeaminika Dar na mikoani. Nitumie DM kwa kazi yako.

⚑

Sikitu kikubwa ila wekaakilini kuwa kumbukumbu zitaishi milele
28/06/2026

Sikitu kikubwa ila wekaakilini kuwa kumbukumbu zitaishi milele

25/06/2026

Majukumu yangu kazini ni kuhakikisha mteja wetu anapata umeme wa uhakika
Ukiwa na changamoto za umeme au kazi mpya
CallπŸ“ž0658078852 sms/Whatsapp

24/06/2026

Ukihitaji tunafunga
πŸ“ž0658078852 - sms/Whatsapp

24/06/2026

Kazi zipo tu tatizo nyota Yako bado IPO????!!!!πŸ‘€

23/06/2026
23/06/2026

Ukiieshimu kazi basijua utaheshimiwa tuu kwa gharama yoyote
⚑⚑ Magomeni apartment

21/06/2026

Noooo!!!!πŸ‘€
Mimi ninazana za kisasa wewe je????πŸ™
Uliza hata bei tuu
Magomeni apartment 🏠

Address

Kigamboni
Dar Es Salaam
11101

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 18:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 15:00
Sunday 09:00 - 15:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtaalamu wa umeme tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category