02/04/2026
UBORA WA JUU WA BATI ZETU
Bati zetu zimetengenezwa kwa mchanganyiko maalumu wa material bora ili kuhakikisha uimara, urembo, na ulinzi wa paa lako:
✅ 40% Aluminium – Huzuia bati kuchukua joto kupita kiasi, hupunguza ukali wa miale ya jua, na kuilinda dhidi ya kutoboka kwa kutu.
✅ 35% Zinki – Huongeza uzito sahihi na uimara, kuhakikisha bati inadumu kwa muda mrefu bila kuharibika.
✅ 25% Silicon – Huimarisha uimara wa rangi, kuzuia kupauka, na kudumisha mwonekano mzuri katika misimu yote ya mwaka
BEI YA KILA BATI NA GAUGE ✅✅
30G
Mgongo mpana Elfu 21,000/=
Mgongo mdogo Elfu 21,000/=
Versetile vigae Elfu 36,000/=
Kofia na Valley Elfu 12,000 /=
28G. ⬅️☘️
Mgongo mpana Elfu 36,000/=
Mgongo mdogo Elfu 36,000 /=
Versetile vigae Elfu 42,000 /=
Kofia na Valley Elfu 17,000 /=
CHENGA CHENGA 30G. ⬅️☘️
Mgongo mpana Elfu 24,000 /=
Mgongo mdogo Elfu 24,000/ =
Versetile vigae Elfu 37,000 /=
CHENGA CHENGA 28G. ⬅️☘️
Mgongo mpana Elfu 37,000/=
Mgongo mdogo Elfu 37,000 /=
Versatile vigae Elfu 45,000 /=
Misumari 1kg normal Elfu 7,000/=
Misumari 1kg tred Elfu 8,000/=
Funica Afrika Roofing