Duratech Engineering Services

Duratech Engineering Services Expert Home Appliance Installation, Repair & Maintenance ๐Ÿ› ๏ธ
On-site service wherever you are | Reliable & trusted
+255 786 848 401 (Call/WhatsApp)

27/07/2026

AC yako inaanza kutoa dalili? Usisubiri gharama ziongezeke.

Tunatoa huduma za kitaalamu za AC Installation, Servicing na Repairs kwa nyumba, ofisi, apartments na biashara.

๐Ÿ“ž Wasiliana na Duratech Engineering Services leo.

16/06/2026

Kuna kosa moja ambalo linafanya watu wengi walipe gharama kubwa za matengenezo ya AC bila kujua. ๐Ÿ‘€

โ€‹Tazama video hadi mwisho ujue kosa hilo ni lipi.

โ€‹๐Ÿ“ž 0786 848401

โ€‹







01/06/2026

Air Conditioning ni zaidi ya kupooza hewa.

Mfumo sahihi wa AC unaweza kupunguza matumizi ya umeme, kuongeza maisha ya vifaa na kuboresha mazingira ya nyumba, ofisi, hoteli au jengo lako la biashara.

Duratech Engineering Services.

Installation โ€ข Servicing โ€ข Repairs โ€ข Maintenance Contracts โ€ข HVAC Solutions

๐Ÿ“ž Wasiliana nasi leo.





27/05/2026

Eid al-Adha Mubarak ๐ŸŒ™โœจ

Duratech Engineering Services tunawatakia wateja wetu wote heri ya sikukuu ya Eid al-Adha. Tunawashukuru kwa kuendelea kutuamini katika huduma za matengenezo ya TV, Washing Machine, AC, Friji na vifaa mbalimbali vya nyumbani.

Tunawatakia sikukuu yenye amani, furaha na baraka tele.

Duratech Engineering Services
Huduma Bora, Uaminifu Daima.

18/05/2026

โ€Ž
โ€Ž๐Ÿšจ TV nyingi hazifi zenyeweโ€ฆ zinauliwa taratibu wakati wa โ€œkusafishwa.โ€
โ€Ž
โ€ŽWatu wengi hupulizia maji au cleaners direct kwenye screen, au kutumia kitambaa chenye unyevunyevu kusafisha TV bila kujua kuwa unyevu mdogo tu unaweza kusababisha:
โ€Ž
โ€Žโš ๏ธ Mistari kwenye screen
โ€Žโš ๏ธ Madoa yasiyotoka
โ€Žโš ๏ธ Screen kufa upande mmoja
โ€Žโš ๏ธ Damage ya kudumu
โ€Ž
โ€ŽNa wengine huharibu screen kwa:
โ€ŽโŒ kusugua kwa nguvu
โ€ŽโŒ kutumia tishu au kitambaa kigumu
โ€ŽโŒ kusafisha TV ikiwa bado ina joto
โ€Ž
โ€ŽKumbukaโ€ฆ gharama ya kioo cha TV mara nyingi huwa karibu sawa na kununua TV mpya kabisa. ๐Ÿ’ธ๐Ÿ“บ
โ€Ž
โ€ŽLinda vifaa vyako mapema.
โ€ŽFollow ukurasa huu usipitwe na elimu za jinsi ya kulinda TV, AC, washing machines, majiko, friji, na home & office appliances nyingine dhidi ya uharibifu wa uzembe wa kila siku. ๐Ÿ› ๏ธ๐Ÿ”ฅ
โ€Ž
โ€Ž
โ€Ž

10/05/2026

๐Ÿ”ฅTV yako imeharibika? Usikimbilie kununua mpya!
Duratech Engineering Services tupo kwa ajili ya kurejesha maisha ya vifaa vyako kwa huduma ya uhakika, haraka na kitaalamu. ๐Ÿ“บ๐Ÿ› ๏ธ

Tunatengeneza:
โœ… TV
โœ… Washing Machine
โœ… AC
โœ… Majiko
โœ… Mafriji
โœ… Vifaa vya nyumbani na ofisini
๐Ÿ“ž Wasiliana nasi sasa: +255 786 848401

๐Ÿ”ฅ โ€œUsinunue Tv mpya kabla hujatuona.




24/04/2026

USIRUHUSU MAFUNDI WA KAWAIDA KUIFUNGUA WASHING MACHINE YAKO ๐Ÿšซโš™๏ธ
โ€Ž
โ€ŽUnapomlipa fundi wa "kawaida," unapoteza pesa na kuharibu zaidi mashine yako. Duratech Engineering Services hatuji kukisiaโ€”tunakuja kurejesha mfumo kwa usahihi wa kihandisi.
โ€Ž
โ€Žโ€‹๐Ÿ“ž Piga Simu Sasa: +255 786 84 84 01
โ€Ž
โ€Žโ€‹ TopLoadSpecialist HomeApplianceRepair TechRestoration TanzaniaExpert

12/01/2026

TV yako ina kasoro? ๐Ÿ˜ฑ
Usinunue mpya bila kwanza kukagua! ๐Ÿ”ง๐Ÿ’ก
Most TV problems are completely fixable โ€” Power Board, Backlight, Main Board. โšก๐Ÿ› ๏ธ
See it all till the end! ๐Ÿ‘€

๐Ÿ“ฉ Whatsapp/Call us today
๐Ÿ“ž +255 786 848 401
๐Ÿ“ Duratech Engineering Services
Professional services you can trust. โœ…

09/01/2026

Hii siyo kufungua mashine juu juu.
Ni full diagnosis + matengenezo ya ndani mpaka mashine irudi kufanya kazi kwa uhakika.

โœ” Drum & bearing service
โœ” Leak & vibration correction
โœ” Electrical & mechanical inspection

Tunarekebisha chanzo cha tatizo, si dalili.

๐Ÿ“ฉ Wasiliana nasi leo kwa huduma za kitaalamu na za uhakika
๐Ÿ“ž Call / WhatsApp: +255 786 848 401
๐Ÿ“ Duratech Engineering Services





Address

Coca Cola
Dar Es Salaam
14112

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Duratech Engineering Services posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category