27/03/2026
Gari imefika kwa ajili ya uchunguzi wa mfumo mzima kwa kutumia advanced diagnostics ili kugundua matatizo kabla hayajawa makubwa.
✔ Engine System
✔ ABS & Brake System
✔ Transmission
✔ Electronic Modules
Tunatumia vifaa vya kisasa kuhakikisha gari lako linapata uchunguzi sahihi na matengenezo ya uhakika.
📍 Royal Auto TZ – Professional Auto Diagnostics & Repair
📞 0624842770
BMWService