VIwanja KWA BEI NAFUU

VIwanja KWA BEI NAFUU Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from VIwanja KWA BEI NAFUU, Landscape Company, Pwani Vikindu, Dar es Salaam.

30/09/2025

🌍 Uuzaji wa Viwanja – Vianzi, Vikindu 🌍
Tunawaletea fursa ya kipekee ya kumiliki kiwanja chenye hati ya mji!

πŸ“ Ukubwa: Futi 40 x 50
πŸ’° Bei nafuu: Kuanzia Milioni 1 tu

🏑 Huduma za jamii: Maji, umeme na barabara vinapatikana jirani na Usalama πŸ’―

πŸ”₯ Kwa nini ununue kwetu?
βœ… Viwanja vimepimwa na vipo kwenye mipango ya miji
βœ… Bei rahisi kuliko maeneo mengine jirani
βœ… Uhakika wa usalama wa umiliki
βœ… Huduma ya kuonesha viwanja BURE kila siku

🚍 Jinsi ya kufika:
Kutokea Kariakoo au Temeke, panda gari za Kisevure, shuka Vikindu.
Kisha panda bajaji kuelekea Vianzi (takribani km 5 kutoka mjini).

✨ Huduma ya kuonesha viwanja ipo bure kila siku!

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa:
WhatsApp/Simu: 0754655910

πŸ‘‰ Usikose nafasi ya kumiliki kiwanja chenye mpangilio mzuri, salama na kwa bei nafuu. Karibu sana!☺️

Address

Pwani Vikindu
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when VIwanja KWA BEI NAFUU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share